Kitu gani cha msingi zaidi unaangalia unaponunua bidhaa mtandaoni?
1.
Njia salama ya malipo itakayotumika - Epuka seller wanaotaka malipo yafanyike kwa Moneygram au western union iwapo ni mara ya kwanza kufanya naye biashara.
2.
Njia ya usafirishaji, Hii inakupa Uhakika wa kupata mzigo kwa wakati - Usipo kuwa makini kipengele hiki waweza jikuta mzigo unaupata baada ya wiki 5, wakati ukiwa makini basi utapata mzigo ndani ya siku 15 - 21 au chini ya hapo.
3.
Reviews za wateja wengine kwa seller na bidhaa husika kabla sijafanya maamuzi ya kulipia bidhaa husika.
Karibu www.bit.ly/101buy4me