Download app yao kwenye play store.Habari wana jamvi, nimrkuwa nikijaribu kununua vitu kutoka allexpress bila mafanikio, nimekuwa nachagua bidhaa ila nikiclick link ya buy now hairepond, naomba wajuzi wa hii kitu mnisaidie, asanteni
Hiyo bei ni ya kusafirishia kila item au jumla la mzigo wowote?@Super women 2: kwa vitu vya UK fanya manunuzi online unayotaka sisi tutakutumia inachukua wiki tu mzigo kufika bei kwa zenji ni £4 ila kwa dar ni £5 sasa ukitaka kuuchukua mwenyewe zanzibar basi ni vizuri itakupunguzia muda wa kusubiri.
Kwa kilo moja ndo tunacharge 4 ama 5 pound tuseme una kilo 20x4 ndo tunavyocharge kwa kucharge kila item itakua ghali sana.Hiyo bei ni ya kusafirishia kila item au jumla la mzigo wowote?
ok
Mada kama hizi watu utakuta wanaanza kuomba namba za simu, hapo ndiyo huwa narudi nyuma na kukaa kimya. Btw, I'm a diamond member on ali.
unalipa kwa njia ipi???Mimi natumia alibaba na naagiza kila mwezi mizigo ka meli au ndege Inategemea na aina ya mizigo. SI KWELI KAMA kutuma western ni tatizo, muda wote mpaka sasa natumia western union na pia wire transfer. Kwa zaidi ya 80% suppliers wa Alibaba ni halisi hakuna Utapeli hata kidogo. Kuna, ni wewe tu how you negotiate nao na aina ya bidhaa utakazo. Their trustworthy kabisa, vitu muhimu unaangalia kwa supplier pale alibaba ni kuwa ana nembo ya trade assurance, pili kama ni gold suppluer wa miaka kadhaa kuanzia mmoja nk. Endelea kufanya biashara.... More info itanicheki kwa wakati wako..
Habar ndug nilikua naomba muongozo wa kukunua bidhaa alibaba itakua vzr ukinipa namba yako au nitxt kwa no.0712385972Mimi natumia alibaba na naagiza kila mwezi mizigo ka meli au ndege Inategemea na aina ya mizigo. SI KWELI KAMA kutuma western ni tatizo, muda wote mpaka sasa natumia western union na pia wire transfer. Kwa zaidi ya 80% suppliers wa Alibaba ni halisi hakuna Utapeli hata kidogo. Kuna, ni wewe tu how you negotiate nao na aina ya bidhaa utakazo. Their trustworthy kabisa, vitu muhimu unaangalia kwa supplier pale alibaba ni kuwa ana nembo ya trade assurance, pili kama ni gold suppluer wa miaka kadhaa kuanzia mmoja nk. Endelea kufanya biashara.... More info itanicheki kwa wakati wako..
Bado uko JF ?Mimi natumia alibaba na naagiza kila mwezi mizigo ka meli au ndege Inategemea na aina ya mizigo. SI KWELI KAMA kutuma western ni tatizo, muda wote mpaka sasa natumia western union na pia wire transfer. Kwa zaidi ya 80% suppliers wa Alibaba ni halisi hakuna Utapeli hata kidogo. Kuna, ni wewe tu how you negotiate nao na aina ya bidhaa utakazo. Their trustworthy kabisa, vitu muhimu unaangalia kwa supplier pale alibaba ni kuwa ana nembo ya trade assurance, pili kama ni gold suppluer wa miaka kadhaa kuanzia mmoja nk. Endelea kufanya biashara.... More info itanicheki kwa wakati wako..
Hatua ya kwanza: Fanya mawasiliano na seller kwa bidhaa uliyochagua hapo alibaba, ukiainisha kiasi cha mzigo unahitaji, Na mahala mzigo unatumwaSasa sijui nianzie wapi
Wapi utachukua mzigo wako? - Hii inategemea njia ya usafirishaji mtakayo kubaliana.Je Mpaka mzigo kukufikia unapitia wapi(posta)
Kodi inategemea ni aina gani ya bidhaa na thamani yake. Kiasi cha kodi hujulikana hapa nchini baada ya mzigo kupitia taratibu za ukaguzi za mamlaka husika.kodi yake ipoje n.k
Fuatisha hizo hatua hapo juu.Mfano nataka kuagiza Plastic cups zile za Take away hapa naanzia wapi mpaka mzigo wangu unifikie safely
Mara kadhaa nimeagiza mzigo mkubwa kupitia alibaba, na mizigo yangu ilikuja kwa njia ya Meli.Nahitaji mawazo yenu kwa waliowahi kujaribu kuagiza Mzigo mkubwa Huko..