Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

IMG_20180326_131216_394.jpg

Nataka niagize simu ya xiamo na baiskeli ya tairi moja kwenye wensite ya aliexpress

Ningependa kuuliza bidhaa inachukua mda gani mpk inifikie mimi

Vipi kuhusu usalama na hakuna grarama nyingine nikashalipia mzigo

Na njia gani nzuri ya kusafirishia
 
Mkuu sorry kukutoa nje ya mada hiyo gta san andreas umeinstall vp kwenye simu
 
Kukufikia mgizo inategemea umetumia Carrier wa aina gani pia pale kwenye shipping selection inaonyesha aina ya carrier na siku anazotumia kukufikishia mzigo wako
 
Habari wana jamvi, nimrkuwa nikijaribu kununua vitu kutoka allexpress bila mafanikio, nimekuwa nachagua bidhaa ila nikiclick link ya buy now hairepond, naomba wajuzi wa hii kitu mnisaidie, asanteni
 
Habari wana jamvi, nimrkuwa nikijaribu kununua vitu kutoka allexpress bila mafanikio, nimekuwa nachagua bidhaa ila nikiclick link ya buy now hairepond, naomba wajuzi wa hii kitu mnisaidie, asanteni
Download app yao kwenye play store.
 
@Super women 2: kwa vitu vya UK fanya manunuzi online unayotaka sisi tutakutumia inachukua wiki tu mzigo kufika bei kwa zenji ni £4 ila kwa dar ni £5 sasa ukitaka kuuchukua mwenyewe zanzibar basi ni vizuri itakupunguzia muda wa kusubiri.
Hiyo bei ni ya kusafirishia kila item au jumla la mzigo wowote?
 
jamani..naomba msaada juu ya matumiz ya advcash..kwa mtu mwenye kujua hilooo..naomb msaada wake
 
Mimi natumia alibaba na naagiza kila mwezi mizigo ka meli au ndege Inategemea na aina ya mizigo. SI KWELI KAMA kutuma western ni tatizo, muda wote mpaka sasa natumia western union na pia wire transfer. Kwa zaidi ya 80% suppliers wa Alibaba ni halisi hakuna Utapeli hata kidogo. Kuna, ni wewe tu how you negotiate nao na aina ya bidhaa utakazo. Their trustworthy kabisa, vitu muhimu unaangalia kwa supplier pale alibaba ni kuwa ana nembo ya trade assurance, pili kama ni gold suppluer wa miaka kadhaa kuanzia mmoja nk. Endelea kufanya biashara.... More info itanicheki kwa wakati wako..
unalipa kwa njia ipi???
 
Habar ndug nilikua naomba muongozo wa kukunua bidhaa alibaba itakua vzr ukinipa namba yako au nitxt kwa no.0712385972
 
Mimi natumia alibaba na naagiza kila mwezi mizigo ka meli au ndege Inategemea na aina ya mizigo. SI KWELI KAMA kutuma western ni tatizo, muda wote mpaka sasa natumia western union na pia wire transfer. Kwa zaidi ya 80% suppliers wa Alibaba ni halisi hakuna Utapeli hata kidogo. Kuna, ni wewe tu how you negotiate nao na aina ya bidhaa utakazo. Their trustworthy kabisa, vitu muhimu unaangalia kwa supplier pale alibaba ni kuwa ana nembo ya trade assurance, pili kama ni gold suppluer wa miaka kadhaa kuanzia mmoja nk. Endelea kufanya biashara.... More info itanicheki kwa wakati wako..
Bado uko JF ?
 
Hello wanajamvi.. Nimeona nije hapa maana najua kuna wanaojua zaidi yangu. Nimepitia Website ya Alibaba.

Na Nimeona Vitu vingi sana na Nipo interested kuagiza bidhaa huko Kwa Ajili ya Biashara zangu. Sasa sijui nianzie wapi na Je Mpaka mzigo kukufikia unapitia wapi(posta) na kodi yake ipoje n.k

Mfano nataka kuagiza Plastic cups zile za Take away hapa naanzia wapi mpaka mzigo wangu unifikie safely

Nahitaji mawazo yenu kwa waliowahi kujaribu kuagiza Mzigo mkubwa Huko..
 
Sasa sijui nianzie wapi
Hatua ya kwanza: Fanya mawasiliano na seller kwa bidhaa uliyochagua hapo alibaba, ukiainisha kiasi cha mzigo unahitaji, Na mahala mzigo unatumwa
Hatua ya Pili: Seller atafanyia kazi na atakupatia ghalama na njia ya malipo unayotakiwa kutumia kukamilisha malipo.
Hatua ya Tatu: Ni wewe kufanya malipo na kumtumia taarifa za malipo uliyofanya
Hatua ya Nne: Seller atakutumia mzigo kama jinsi mlivyo kubaliana.
Hatua ya Tano: Utasubiri kwa muda aliokueleza mzigo ili ufike hapa nchini, Baada ya kufika mzigo taratibu za kuutoa ndio zitafuata.
Je Mpaka mzigo kukufikia unapitia wapi(posta)
Wapi utachukua mzigo wako? - Hii inategemea njia ya usafirishaji mtakayo kubaliana.
kodi yake ipoje n.k
Kodi inategemea ni aina gani ya bidhaa na thamani yake. Kiasi cha kodi hujulikana hapa nchini baada ya mzigo kupitia taratibu za ukaguzi za mamlaka husika.
Mfano nataka kuagiza Plastic cups zile za Take away hapa naanzia wapi mpaka mzigo wangu unifikie safely
Fuatisha hizo hatua hapo juu.
Nahitaji mawazo yenu kwa waliowahi kujaribu kuagiza Mzigo mkubwa Huko..
Mara kadhaa nimeagiza mzigo mkubwa kupitia alibaba, na mizigo yangu ilikuja kwa njia ya Meli.

Iwapo utahitaji kufanyiwa taratibu zote za manunuzi hadi kukabidhiwa mzigo waweza anzia hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Kisha wasiliana nami kupitia hiyo thread au PM au whatsapp 784 496 856

KARIBU
 
Naomba nikiri kwa kinywa changu kwamba aliexpress inazipiku hizo eBay na hata amazoni
-
Kwanza aliexpress ni rahisi kununua

Pili ni fastest shipping compare to ebay or amazon

Cha tatu wanarefund haraka na ni wa uhakika zaidi

Cha NNE bidhaa zao ni cheap na affordable

Cha tano sana customer care nzuri sana

Cha sita packages za bidhaa wanapack vizuri

Sijaona cha kunishawishi kunitoa aliexpress kiukweli naenjoy sana hata juzi ijumaa nimetoka kupokea parcel zangu Posta ya Arusha

Jamaa wapo vizuri changamoto ni Posta zetu hazijakaa kidigital hapa ndo tatizo

Nyingine ongezeeni wakuu
 
Back
Top Bottom