Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Si lazima uwe na account ya USD unaeza ukatumia suspense account ya bank husika as long as una account na hiyo bank, (hata kama ukiwa huna account na benki husika ingawa yumkini kanuni zinaeza kua zimebadilika...kwenye game kitambo sana)Telegraphic Transfer. Unaenda bank unafungua account ya $. Ukishafungua hiyo account na kujaza form ya TT, benki wanamalizia kutuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu acha siasa mtu wa Mungu. Elezea uhalisia. Elezea suspense account ni nini na inatumika vipi.Si lazima uwe na account ya USD unaeza ukatumia suspense account ya bank husika as long as una account na hiyo bank, (hata kama ukiwa huna account na benki husika ingawa yumkini kanuni zinaeza kua zimebadilika...kwenye game kitambo sana)
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kila kitu kimeingizwa siasa siku hizi, kitu kisipoeleweka ni siasa kumbe basi siasa ni utapeli uongo uzuzu nk....anyway hayo tuwaachie wanasiaisa.....Hebu acha siasa mtu wa Mungu. Elezea uhalisia. Elezea suspense account ni nini na inatumika vipi.
Nena usaidie mwingine sio uonekane unajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi mkuu agiza sema wanatakiwa wakutumie orodha ya oder uliyoweka kwao ili uweze kuombea TT kupitia benk yakoKuna bidhaa nahitaji kununua katika mtandao wa Alibaba ila seller kunambia nimlipe kwa TT je ni njia salama kwa pesa yangu?
Umenisaidia Kaka !!Kama una VISA card au MasterCard iliyiverified kwa ajili ya online purchases,nenda play store download Ali Express fanya mambo kuwa rahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefikia hatua gani??Ila bado ninahofu na Kutapeliwa!
hapa nimeanza!.... hatua ya kwanza ilikua nikupitia ukurasa zote zihusuo buying online!Umefikia hatua gani??
Habar zenu wanajukwaa, nauliza nikinunua bidhaa amazon itatumwa kwangu kwa njia gan , namaanisha ntaipata wap ?
Nyingi ya bidhaa kwa amazon hawatumi direct kuja Tanzania,.itatumwa kwangu kwa njia gan
Anwani utakayojaza (Shiiping address) wakati unafanya manunuzi ndio itakayotumia kupokelea bidhaa yako.namaanisha ntaipata wap ?
Hakika, JF imesheni kila kitu.JF ni zaidi ya uifikiriavyo.
Nimeongeza maarifa tena
Sahihi.Je unaweza kujiunga masoko zaid ya moja mkuu?
Ndio.Sasa naweza kupata mzigo mpya kwa bei nzur ikiwemo shipping fees nkauza na kupata faida
Kama mtaj Wang haufk ata lak 5 nafanyaj npate faida kwa kununua bidhaa online?Ndio.
Hata wafanya biashara wengine hufanya hivyo.
Bidhaa zote unazoziona madukani huagizwa.
Hivyo ni vyema kuchukua mzigo mkubwa kwa bei ya jumla jumla - Hii itapunguza ghalama ya usafirishaji
- Alibaba
- DHgate
- made-in-china
Hizo ndio shopping site za kuchukua bidhaa kwa wingi ikiwa lengo ni biashara.
Livendugu zangu watanzania tungekuwa muda mwingi tunashare mada kama hizi na kujadili na kupeana mawazo badala ya kufuatilia mambo ya DIAMOND na WEMA tungekuwa mbali sana nashukuru sana uzi huu umenipa mwanga na nimeagiza bidhaa nyingi sana na zote zimefika hamna hata moja isiyofika