Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jaman zip codes ni nin? Nataka kufungua PayPal hapo najaza zipi wakuu
 
Nashindwa kuelewa mtu anaposema kwamba amazon hawaship bidhaa kuja Tanzania wakat kwenye site yao wamezitaja nchi ambazo ziko elligible kwa ajili ya global shipping Tanzania ikiwemo, pamoja na bidhaa ambazo zinaweza kuwa shipped kuja Tanzania! Sijui labda mm ndo sielew!
6FB19FFC-ECDF-450C-B350-76E9DF21D1D6.png
19CD9CC3-0FE9-4DF8-B23D-C8BBD0283B74.png
 
Nashindwa kuelewa mtu anaposema kwamba amazon hawaship bidhaa kuja Tanzania wakat kwenye site yao wamezitaja nchi ambazo ziko elligible kwa ajili ya global shipping Tanzania ikiwemo, pamoja na bidhaa ambazo zinaweza kuwa shipped kuja Tanzania! Sijui labda mm ndo sielew!
View attachment 867819View attachment 867820
Nadhani tatizo kubwa wengi wanashindwa ni kwenye address wanapolazimisha uweke post code ambapo watanzania wengi hawajui namna ya kuzipata!!!

Ukishajua namna ya kuipata post code tayari mzigo unakufikia bila shida.

Kila la heri!
 
Ndugu unahakika katika hili au unazungumzia kitu cha kufikirika???

Mala kwa mala nimekuwa nikifanya manunuzi amazon nafahamu changamoto zake kivitendo.

1537083397190.png

Ukishajua namna ya kuipata post code tayari mzigo unakufikia bila shida.
Postcode si tatizo

Hizi hapa PostCode/ Zip Code - Download attachment,
 
Attachments

Salaam wanajukwaa

Kwanza niseme kuwa nachofurahi toka nimeanza kuagiza vitu mtandaoni aliexpress ya alibaba sijawahi kuibiwa au mzigo kupotea nimewahi kuagiza vitu tofauti zaidi ya mara 40 na vikafika vyote

Sasa hivi kuna parcel mbalimbali kama kumi hivi tofauti tofauti nimeagiza

Ila kuna parcel moja nimenunua aliexpress nimetumiwa kupitia posta ambayo kiukweli sikuwahi kuijua au kuwa na uzoefu nayo nayo bpost au beligium international post

Wajuzi ambayo mshawahi kutumia hii posta tafadhali nambieni inachukua siku ngapi mzigo kufika?
 
siku nyinginne huwa unatumiwa mizigo kupitia wapi mkuu?maana mimi siku zote mizigo ya online huwa nachukuliua posta unless kama nimebadilisha address itumwe kwa njia ya fasta ya kulipia.bpost watakuletea kupitia posta pia i think
 
Sawa ni posta ila nilikua nataka kujuwa hiyo posta utumaji wake upoje ni wa haraka au la maana posta nyingi za kuagiza kutoka china zmetofautiana
 
relax, bpost ni shirika la posta la ubeligiji. asilimia 99 mzigo utafika. Ingekuwa ni alibaba au unatoka china post ningekwambia aslimia 60 utafika. Chinese are fools wengi ni matapeli, think twice before you order anything from china, ingawaje you are secured kama utatumia ebay.
 
Nimenunua aliexpress nikatumiwa kwa posta hiyo
 
relax, bpost ni shirika la posta la ubeligiji. asilimia 99 mzigo utafika. Ingekuwa ni alibaba au unatoka china post ningekwambia aslimia 60 utafika. Chinese are fools wengi ni matapeli, think twice before you order anything from china, ingawaje you are secured kama utatumia ebay.
Sio kweli kwamba chinesse ni matapeli big no vitu vyote hivyo nimenunua huko na cjawah kuibiwa wala kutapeliwa
 
nimeibiwa mara 4 na sasa nina case mbili nimefungua aliexpress na nyingine ebay, wanadanganya wametuma kumbe hawajatuma
 
Hivi ukinunua vitu online na adress ukaandika 777 Dodoma. Unapoenda kuchukua posta unaweza ipata wapi. Kwenye box au reception?
 
Salaam wanajukwaa

Kwanza niseme kuwa nachofurahi toka nimeanza kuagiza vitu mtandaoni aliexpress ya alibaba sijawahi kuibiwa au mzigo kupotea nimewahi kuagiza vitu tofauti zaidi ya mara 40 na vikafika vyote

Sasa hivi kuna parcel mbalimbali kama kumi hivi tofauti tofauti nimeagiza

Ila kuna parcel moja nimenunua aliexpress nimetumiwa kupitia posta ambayo kiukweli sikuwahi kuijua au kuwa na uzoefu nayo nayo bpost au beligium international post

Wajuzi ambayo mshawahi kutumia hii posta tafadhali nambieni inachukua siku ngapi mzigo kufika?
Bpost ni kimeo mkuu, mmi mzigo ulipotelea kwenye transit ikabid niombe refund.
 
relax, bpost ni shirika la posta la ubeligiji. asilimia 99 mzigo utafika. Ingekuwa ni alibaba au unatoka china post ningekwambia aslimia 60 utafika. Chinese are fools wengi ni matapeli, think twice before you order anything from china, ingawaje you are secured kama utatumia ebay.
Sijawahi kupotelewa mzigo kutoka china ila bpost sjapata mzigo wangu nilioagiza since May... Tatizo kubwa ni tracking ya mzigo... Tracking number zao ni tofauti na hzi nyingine.
 
Back
Top Bottom