Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Jaman zip codes ni nin? Nataka kufungua PayPal hapo najaza zipi wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya hiviSijui labda mm ndo sielew!
Nadhani tatizo kubwa wengi wanashindwa ni kwenye address wanapolazimisha uweke post code ambapo watanzania wengi hawajui namna ya kuzipata!!!Nashindwa kuelewa mtu anaposema kwamba amazon hawaship bidhaa kuja Tanzania wakat kwenye site yao wamezitaja nchi ambazo ziko elligible kwa ajili ya global shipping Tanzania ikiwemo, pamoja na bidhaa ambazo zinaweza kuwa shipped kuja Tanzania! Sijui labda mm ndo sielew!
View attachment 867819View attachment 867820
Ndugu unahakika katika hili au unazungumzia kitu cha kufikirika???Nadhani tatizo kubwa wengi wanashindwa ni kwenye address wanapolazimisha uweke post code ambapo watanzania wengi hawajui namna ya kuzipata!!!
Postcode si tatizoUkishajua namna ya kuipata post code tayari mzigo unakufikia bila shida.
Tueleweshane mkuu kinachoendelea kwenye hii pichaNdugu unahakika katika hili au unazungumzia kitu cha kufikirika???
Mala kwa mala nimekuwa nikifanya manunuzi amazon nafahamu changamoto zake kivitendo.
View attachment 867828
Postcode si tatizo
Hizi hapa PostCode/ Zip Code - Download attachment,
Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForumsTueleweshane mkuu kinachoendelea kwenye hii picha
Sawa ni posta ila nilikua nataka kujuwa hiyo posta utumaji wake upoje ni wa haraka au la maana posta nyingi za kuagiza kutoka china zmetofautianasiku nyinginne huwa unatumiwa mizigo kupitia wapi mkuu?maana mimi siku zote mizigo ya online huwa nachukuliua posta unless kama nimebadilisha address itumwe kwa njia ya fasta ya kulipia.bpost watakuletea kupitia posta pia i think
Nimenunua aliexpress nikatumiwa kwa posta hiyorelax, bpost ni shirika la posta la ubeligiji. asilimia 99 mzigo utafika. Ingekuwa ni alibaba au unatoka china post ningekwambia aslimia 60 utafika. Chinese are fools wengi ni matapeli, think twice before you order anything from china, ingawaje you are secured kama utatumia ebay.
Sio kweli kwamba chinesse ni matapeli big no vitu vyote hivyo nimenunua huko na cjawah kuibiwa wala kutapeliwarelax, bpost ni shirika la posta la ubeligiji. asilimia 99 mzigo utafika. Ingekuwa ni alibaba au unatoka china post ningekwambia aslimia 60 utafika. Chinese are fools wengi ni matapeli, think twice before you order anything from china, ingawaje you are secured kama utatumia ebay.
nimeibiwa mara 4 na sasa nina case mbili nimefungua aliexpress na nyingine ebay, wanadanganya wametuma kumbe hawajatumaSio kweli kwamba chinesse ni matapeli big no vitu vyote hivyo nimenunua huko na cjawah kuibiwa wala kutapeliwa
Ukifika utataja box namba then utapewaHivi ukinunua vitu online na adress ukaandika 777 Dodoma. Unapoenda kuchukua posta unaweza ipata wapi. Kwenye box au reception?
Bpost ni kimeo mkuu, mmi mzigo ulipotelea kwenye transit ikabid niombe refund.Salaam wanajukwaa
Kwanza niseme kuwa nachofurahi toka nimeanza kuagiza vitu mtandaoni aliexpress ya alibaba sijawahi kuibiwa au mzigo kupotea nimewahi kuagiza vitu tofauti zaidi ya mara 40 na vikafika vyote
Sasa hivi kuna parcel mbalimbali kama kumi hivi tofauti tofauti nimeagiza
Ila kuna parcel moja nimenunua aliexpress nimetumiwa kupitia posta ambayo kiukweli sikuwahi kuijua au kuwa na uzoefu nayo nayo bpost au beligium international post
Wajuzi ambayo mshawahi kutumia hii posta tafadhali nambieni inachukua siku ngapi mzigo kufika?
Sijawahi kupotelewa mzigo kutoka china ila bpost sjapata mzigo wangu nilioagiza since May... Tatizo kubwa ni tracking ya mzigo... Tracking number zao ni tofauti na hzi nyingine.relax, bpost ni shirika la posta la ubeligiji. asilimia 99 mzigo utafika. Ingekuwa ni alibaba au unatoka china post ningekwambia aslimia 60 utafika. Chinese are fools wengi ni matapeli, think twice before you order anything from china, ingawaje you are secured kama utatumia ebay.