Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Tracking kwa local postal ni tatizo mkuu sijui kama umenielewa mzigo kupitia site mbalimbali unaonesha ulishafka since 13 June ila nothing.
Baada ya kutumia hyo link ya postatz
 
nimeibiwa mara 4 na sasa nina case mbili nimefungua aliexpress na nyingine ebay, wanadanganya wametuma kumbe hawajatuma
Mimi kwangu haijatokea wala haitotokea nipo makini mno
 
Sijawahi kupotelewa mzigo kutoka china ila bpost sjapata mzigo wangu nilioagiza since May... Tatizo kubwa ni tracking ya mzigo... Tracking number zao ni tofauti na hzi nyingine.
Umeshafungua dispute?km,bado na unasubiria njoo pm nikusaidie anyway mm ninatumia system mbili kutrack mzigo ya kwanza ni track no ya pili natrack kwa system ya posta
 
Tracking kwa local postal ni tatizo mkuu sijui kama umenielewa mzigo kupitia site mbalimbali unaonesha ulishafka since 13 June ila nothing.
Umeenda posta yako kuangalia??ikiwa umeenda local postal yako umekosa nenda posta kuu ya sehem husika
 
Swali lolote kuhusu kuagiza chochote aliexpress nitakujib hapa

Hii ni kwa wale wanaojua tayar ila kuna vitu vinawapa hofu au kuna mahali hawaelewi
 
Umeshafungua dispute?km,bado na unasubiria njoo pm nikusaidie anyway mm ninatumia system mbili kutrack mzigo ya kwanza ni track no ya pili natrack kwa system ya posta
Nisaidie nami tracking system ya posta mkuu kama hutojali
 
Mkuu umeshafanya Manunuzi mara ngapi. Na vipi kuhusu issue za Kodi TRA. Na pià je huwa unatumia Posta kupokea Mizigo?? Tupe Hints za usalama wa mali
 
Mkuu umeshafanya Manunuzi mara ngapi. Na vipi kuhusu issue za Kodi TRA. Na pià je huwa unatumia Posta kupokea Mizigo?? Tupe Hints za usalama wa mali
Kiukweli sijawahi kukadiriwa kodi. Toka nimeanza kununua labda buku jero tu mara nyingine inahitajiwa na posta na mara nying naagiza vitu vidogo vidogo tu

Mimi natumia posta

Usalama wa mali nauona kwasasa posta wamejiimarisha na sijawahi kuibiwa mpaka sasa
 
Nielekeze nami tracking system ya posta mkuu kama hutojali
Tracking system ya posta ukienda pale posta unawapa tracking zako wanaangalia wanakwambia mzigo km ushawasili kwenye posta yao na kujua upo wap popote pale tz
 
mkuu aliexpress mzigo unatumia siku ngapi kufika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…