Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

kuna haja modz kuangalia upya vigezo vya kujiunga humu......tukumbuke, kuna neno 'great thinkers' jamaa. makubwa yanategemewa kutoka kwetu. hii tread ndo mojawapo kweli ya yatarajiwao kutoka kwetu?
 
Nmenunua simu samsang j7 kikuu ni fake yaani haifanyi kazi kabsa na kikuu wananizingua kufanya return
Jamani ni sehemu gani naweza pata msaada wa kisheria katika hizi organization za serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribi kununua kupitia Amazon na nimejaza info za kadi, natumia NMB, sasa nauliza je pesa ikitolewa kuna ujumbe napata?

Maana sijapata ujumbe hadi sasa. Natumia Mastercard na isha wezeshwa kufanya manunuzi online.

Amazon wameniambia oda ikiwa tayari watanijuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada wakuu huku alibaba/aliexpress issue ya shipping fee imekaaje mbona upande wangu nikilinganisha bei ya bidhaa na shipping fee naona hii shipping fee inakuwa kubwa zaidi na sometimes unaweza kuta bidhaa ni ya laki moja lakini shipping fee inakuja laki 7 total inakuwa laki 8 hebu mnieleweshe hapo wakuu,nyinyi wenzangu mnafanyaje? Maana me kila nikijaribu hapo ktk shipping fee ndo unakua mwisho wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kulipia badhaa aliexpress natumia m pesa mastarcard lakin inagoma kukamilisha malipo holdername nijaze majina yangu ya m pesa au. Nalejexha kwenu wana JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…