Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
ni kweli maharage ya mbeya ni matamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eBay,Amazon, AliExpress etcJamani naombeni kuuliza ni kampuni gani gani zuri linalouza bidhaa mtandaoni linalouza vitu original kwa bei ya kawaida kwani kikuu nimeona bidhaa zao ni fake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwelii kabsa ni matamu sanani kweli maharage ya mbeya ni matamu
AsantePercels zinapitia posta uliyojiandikisha wakati wa kujaza shipping address yako.
Zinafika bila wasiwasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
www.magaribay.com
Brother naomba contact yako ....yangu 0621961707Kuna MTCN ambapo utatakiwa umtumie hivyo unaweza screenshoot form uliyoijaza yenye detail zake akaona ushatuma hicho kiasi, ili ukipokea mzigo unamtumia hizo namba ili apate pesa zake.
Ushafika hapo subiri kuitwa ukachukue mzigo wako mda wowote siku za kazi.Wataalam naombeni msaada hapa.je mzigo utakuwa umeshafika tayar?View attachment 1356970
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushafika hapo subiri kuitwa ukachukue mzigo wako mda wowote siku za kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Sana mkuu.Nashukuru mkuu jana nilipàta ujumbe toka posta nikachukue parcel yangu.
Nilichajiwa tsh 2500/=
Sent using Jamii Forums mobile app