Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,426
Mimi nataka hiyo hiyo. Inaitwa RASKO BABA PRESSURE COOCKER INATUMIKA sana INDIA IRAN PAKISTAN. Inatumika sana kwenye kuni na mkaa bila shida ttoauti na presure coocker za kawaidaNot exactly like that Ila pressure cooker ambazo unatumia majiko ya kawaida zipo mtaani,
Kuna jamaa wapo Swahili plaza wanasafirisha toka India Dola 11 ama 13 kwa kilo kama kumbukumbu zipo Sawa, hio ni kwa ndege, probably Meli ikawa rahisi zaidi. Jina nimesahau Ila wapo floor ya Kwanza ukipanda Tu ngazi upande wa Kulia.Mimi nataka hiyo hiyo. Inaitwa RASKO BABA PRESSURE COOCKER INATUMIKA sana INDIA IRAN PAKISTAN. Inatumika sana kwenye kuni na mkaa bila shida ttoauti na presure coocker za kawaida
Nataka kujua kama kuna kampuni inaweza kusaidia hizi mambo maana
Last seen Jun 9, 2026Uzi wa kitambo sana sijui mleta mada bado yupo hai nimuulize maswali zaidi
Mkuu huvi kitu kama hiki naweza kuzuiwa kukiagizaLast seen Jun 9, 2026
Jaribu aliexpress, nimetumia neno "Jaribu"Mkuu huvi kitu kama hiki naweza kuzuiwa kukiagiza
Ni miaka 12 sasa, huu uzi bado upo valid
- Katika list ya forwarding company ongeza hii " ComGateway"
- Iko safi zaidi - ukilinganisha na myusu.com
- Tena wana application yao ya android inayokuwezesha kufanya ulinganifu wa bei toka masoko tofauti tofauti
- Iko salama zaidi, hakuna charges zilizojificha, Kujiunga ni free JZHOELO
Hivi ukiona bidhaa ipo aliexpress inauzwa 73,000/= wakaandika free shipping mzigo unapokuja huku unafikia wapi? Na kuna gharama za ziada?Jaribu aliexpress, nimetumia neno "Jaribu"
Ndio Mkuu.Ni miaka 12 sasa, huu uzi bado upo valid
Free shipping ni lugha ya kibiashara, kimsingi gharama za usafirishaji huwa ni inclusive kwenye bidhaa husika..wakaandika free shipping mzigo
Hii inategemea na muuzaji husika atasafirisha kwa njia ipi?unapokuja huku unafikia wapi?
Asante sanaHii inategemea na muuzaji husika atasafirisha kwa njia ipi?
Muhimu hakikisha unaweka namba ya simuambayo muda wote inapatikana, na pia hakikisha unakagua mara kwa mara order uliyofanya kuangalia uwepo wa tracking number, ambayo iutakupa hint mzigo unakuja vipi na utapokea wapi.
Ahaa means you are not sureJaribu aliexpress, nimetumia neno "Jaribu"
Naomba kuuliza mfano umeninua suruali 2 shati mbili viatu pea mbili,mzigo ukawa pamoja hawa watu wa kodi TRA kodi itakadiriwa kwa jumla au tuseme kwq gharama ya mzigo jumla au wanachambua kimojakimojaHii inategemea na muuzaji husika atasafirisha kwa njia ipi?
Muhimu hakikisha unaweka namba ya simuambayo muda wote inapatikana, na pia hakikisha unakagua mara kwa mara order uliyofanya kuangalia uwepo wa tracking number, ambayo iutakupa hint mzigo unakuja vipi na utapokea wapi.