Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Searching for How to Shop on Amazon in Kenya or Tanzania?
Did you know you can shop on Amazon or Ebay and pay with Mpesa?

It’s really simple, this is a great service offered by Statesduka.com.



Go to Statesduka.com click signup here to create your account.

Once you got that covered go to your email inbox to find the activation link. (Be sure to check your junk/spam folder for the email if it doesn’t hit your inbox)

Now that you got that sorted out go online to your preferred shopping website in USA.

Order the items you want and at check out input your details as illustrated HERE
AAMAAQDGAAgAAQAAAAAAAA3SAAAAJGMzY2FhMzAxLWRiZWMtNDUzNC04ZDg0LWY0MjRiMWQyOGM3OA.jpg


Once you’re all done, please remember to email us your package tracking details so we can keep an eye out for your package (we call this the shipping only option).

When we receive your package at our USA office we will notify you to go pay your shipping charges via MPESA or bank deposit at our KCB bank account.

We will then ship your package to Nairobi within 10 – 14 days, our prices start at $15 per kg.

When the package arrives in Nairobi you will be notified to come and pick it up by our staff.

That’s all it is to it.

Oh wait! maybe you need help on how to shop on Amazon in Kenya. This is the shop and ship option.

We got you covered!
We can shop for you. All you need to do is send us links of the items you want to purchase.

Make the payment for the items and shipping charges at our KCB account or via MPESA and you’re all set.

Now all you need to do from the time you make the purchase is, sit back and wait for your package to be delivered by us.

We have lots of satisfied clients and you too can be one of them.

Happy shopping & shipping with Statesduka.com

 
Naomba msaada kwa mtu yeyote aliewahi kununua simu kupitia amazon.
- maximum inachukua muda gani kufika bongo
- in case mzigo haujafika,refund inachukua muda gani
- je ukiagizia ijwa kwa posta ni nzuri?
vitu gani hasa vya kuzingatia ili kutofanya makosa wakati wa kuagiza.
 
Simu huwa zinakuwa na firmware tofauti kutegemeana na kanda zinapouzwa. Unaweza kununua simu kutoka kule ikaja huku ikashindwa kuregister mtandao baada ya kuweka SIM card.

Mwl.RCT uzoefu wako tafadhali
 
Simu huwa zinakuwa na firmware tofauti kutegemeana na kanda zinapouzwa. Unaweza kununua simu kutoka kule ikaja huku ikashindwa kuregister mtandao baada ya kuweka SIM card.

Mwl.RCT uzoefu wako tafadhali
kwa hiyo hapo suala la kuangalia specification hasa za tework ni mhimu
 
Mimi kwa uzoefu wangu vitu kama simu huwa hawa ship kuja Tanzania. Ukitaka kununua kitu kama simu Amazon inabid kupitia kampuni nyingine ambayo kazi yake ni ku ship kuja nchi kama za kwetu. wao wanakupa address ya US then Amazon waki ship mzigo unafika kwao then wao ndio wanakutumia Bongo.

Sema option hii inakuwa gharama sana. Jaribu hii website
 
Mimi kwa uzoefu wangu vitu kama simu huwa hawa ship kuja Tanzania. Ukitaka kununua kitu kama simu Amazon inabid kupitia kampuni nyingine ambayo kazi yake ni ku ship kuja nchi kama za kwetu. wao wanakupa address ya US then Amazon waki ship mzigo unafika kwao then wao ndio wanakutumia Bongo. Sema option hii inakuwa gharama sana. Jaribu hii website www.myus.com
kilichonisukuma mimi kutaka kutumia soko la amazon, nimeona kule bei zipo chini ukilinganisha na ebay .ila uzoefu unaonesha ni complecated sana kuagiza kupitia amazon labda niopt aliexpress.
 
nimeona kule bei zipo chini ukilinganisha na ebay .
Inaonekana bei iko chini sababu shipping cost ya kuja nchi za kiafrica haijawekwa.
Shipping cost huwa sio chini ya USD 27. Hivyo kwa kila simu ongezea hicho kiasi.
ila uzoefu unaonesha
Hakuna complication iwapo utafahamu nini inatakiwa kifanyike.
Pitia hizi thread.

labda niopt aliexpress.
Aliexpress ni nzuri, Angalizo epuka free shipping, item huchelewa sana.
 
Naomba msaada kwa mtu yeyote aliewahi kununua simu kupitia amazon.
- maximum inachukua muda gani kufika bongo
Huwa ni ndani ya siku 14
- in case mzigo haujafika,refund inachukua muda gani
Kwa mfumo wa amazon ulivyo KAMWE haitotokea usiupate mzigo wako, Ninatumia amazon kwa zaidi ya miaka mitano (5)
- je ukiagizia ijwa kwa posta ni nzuri?
Ndio inawezekana iwapo seller atatuma kwa USPS, hapo tegemea kuupata mzigo baada ya wiki 3 au zaidi.
vitu gani hasa vya kuzingatia ili kutofanya makosa wakati wa kuagiza.
Epuka bidhaa zenye uzito mkubwa, zitakughalimu sana katika kusafirisha.

Kwa hitaji la manunuzi ya bidhaa toka website yeyote ya USA, UK, JAPAN, AUSTRALIA, ambazo hazitumi direct kuja Africa, Usisite kuwasiliana nami kupitia hii thread: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

KARIBU
 
wao wanakupa address ya US then Amazon waki ship mzigo unafika kwao then wao ndio wanakutumia Bongo. Sema option hii inakuwa gharama sana. Jaribu hii website www.myus.com
Ghalama za usafirishaji ziko juu kwa huduma za MYUS, ni vyema akafanya utafiti wa ghalama kwanza kabla ya kufanya order.
 
Habari wakuu.

Naomba kujuzwa sites nzuri kwa ajili ya kununua viatu mtandaoni na pia kujua namba za viatu za nchi yetu ukilinganisha na namba za mataifa mengine....

Inaonekana mataifa tofauti hutumia mfumo wa namba za viatu tofauti.

Naomba kujuzwa ndugu zanguni... Mfano mimi navaa kiatu namba 40 je ukilinganisha na namba za viatu china, USA, UK zinautofauti .. nataka nijue namba 40 ya kiatu inaendana na namba zipi za viatu kwa mataifa mengine

Msaada tafadhari
 
Daah mbwembwe nyingine hizi baana !! kweli tunatofautiana saaana aiseeee
 
Vp kuhusu mtandao wa zalando kwa manunuzi ya viatu? Kuna mtu aliwahi nunua kupitia hii site?
 
Back
Top Bottom