Kwenye biashara hakuna Hasara.
Swali zuri!
Iko hivi Wafanya biashara wakubwa
1. Huaguza mzigo mkubwa toka
kiwandani, na Hununua kwa bei ya
jumla jumla, huwa iko chini zaidi kutokana na ukubwa wa mzigo.
2. Njia ya Usafirishaji - Wafanya biashara wakubwa hutumia
MELI , Iwapo mzigo unakuja kwa maji na ni container kadhaa au hutumia
Air Cargo iwapo mzigo sio mkubwa sana, Ambapo ghalama za kusafirisha huwa chini na hupimwa kwa CMB
Hivyo kwa wao wafanya biashara kwa ile
bei anayouza tayari
ana faida, hapo baada ya
kutoa ghalama zake zote (Manunuzi + kusafirisha + kodi )
Tukija kwako iwapo utaagiza bidhaa yenye uzito mkubwa kama TV
- Utasafirishiwa kwa njia ya express: Hapo kampuni kama DHL, UPS , ARAMEX zitahusika, ghalama ya kusafirisha kilo moja Tu huwa ni kati ya USD 27 hadi 48, Piga hesabu kwa TV ina uzito wa kiasi gani.
- Mzigo ukifika nchini - Unatakiwa ulipie KODI / VAT
- Utatakiwa ulipie agent fee (Wakati wa clearance) na charges zingine zitakazojitokeza
Hivyo ukijumlisha
MANUNUZI (Kwa bei ya reja reja ) +
USAFIRSHAJI +
KODI + AGENT FEE utajikuta ghalama inakuwa mara
mbili au tatu ya ghalama ya manunuzi kama ungennua nchini.
Soma maelezo ya mteja wangu hapa chini, Aliagiza TV toka USA
Ingia hapa kufuatilia zaidi:
Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums