Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

HII NI KWA WATUMISHI WA SERIKALINI PEKEE

Vigezo vya kupata mkopo wa fedha kwa watumishi wa Umma.
1. Uwe na copy ya kitambulisho cha kazi
2. Uwe na copy ya kitambulisho c'ha taifa.
3. Salary slip moja ya mwezi uliopita.
4. Bank statement (miezi mitatu)
5. Passport size moja tu.

Kima cha chini cha mkopo ni kuanzia Tsh. 500,000 na kima cha mwisho cha kukopa ni 40,000,000.

Muda wa marejesho ni kuanzia miezi 6 mpaka miezi 96 (miaka nane). Utachagua mwenyewe unahitaji mkopo wa muda gani.
Huduma ni popote Tanzania.

pia riba yetu ni asilimia 1.4 kwa mwezi na asilimia 17 kwa mwaka
pia kwa wale wenye mikopo sehemu nyingine inawahusu pia ukiwa na uhitaji tunauwezo wa kununua deni ulilokopa...

mawasiliano zaidi piga 0692449416
Riba zimeshuka ndugu mpk 14%
 
HABARI.....?..
wanahitajika madalali tufanye biashara ya magodoro moja kwa moja kutoka kiwandani ,,na mchakato wao mkubwa utakuwa ni kuleta wateja wa jumla na reja reja,,, na watapata malipo kama kawaida punde wanapoleta mteja...
kwa mawasiliano zaidi 0692449416
 
G.P.S (KING'AMUZI) CHA MAGARI PIKIPIKI

Habari wana Jamii Forum

Ninatangaza kampuni yenu ya KITAU MOTOR GPS ( @https://web.facebook.com/KITAUMOTOR/?modal=admin_todo_tour ) inayojihusisha na biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu.

Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji magari umekithiri kama biashara yenyewe.

Kama KITAU TRANSPORT tunakupa huduma ya GPS kwenye chombo chako. Kwa kutumia GPS yetu utaweza kufatilia mwenendo wa kifaa/vifaa vyako vya moto masaa 24 kwenye simu yako.
ok.png
kitau picha.jpg

Utaweza ona:

Location (mahali chombo kilipo)
Displacement (Mwendo na mwelekeo wa chombo chako kama kina tembea)
Geo frencing (Kama kimetoka eneo unalohitaji kiwepo)
GPS zetu ni water proof. Unaweza tumia wakati wa mvua bila wasiwsi wa kuingia maji au kuharibia.

Malipo ni shillingi Elfu kumi kwa mwezi (10,000 TSh) kwa bajaji na Pikipiki na Elfu Kumi na Tano (15,000 Tsh) kwa magari ya aina yoyote.

Kwa mwezi wa kwanza kuna malipo ya shillingi Elfu kumi na tano (15,000) kwa ajili ya usajiri.
Malipo yote yatafanyika baada ya kukufungia gps yako.

Tunapatika Dar-es-Slaam kwa number zifuatazo.

+255 754 711 783

Unaweza kutufuata na ku like kwenye page yetu ya facebook @https://web.facebook.com/KITAUMOTOR/?modal=admin_todo_tour
 
Habar wadau,naomba msaada nmekuwa nanunua bidhaa ndogo ndogo mtandao hasa ebay na znafika. Kwa sasa ninahitaji trekta wakati napitia pitia Alibaba nimepata trekta za bei nzuri sana hadi nmepata hofu huwenda ni matapeli. Mwenye uzoefu na kununua bidhaa kubwa kama trekta,gari au combine harvester kupitia Alibaba naomba kujua is real?
Screenshot_20200717-220129_1595013262780.jpg
 
Habar wadau,naomba msaada nmekuwa nanunua bidhaa ndogo ndogo mtandao hasa ebay na znafika. Kwa sasa ninahitaji trekta wakati napitia pitia Alibaba nimepata trekta za bei nzuri sana hadi nmepata hofu huwenda ni matapeli. Mwenye uzoefu na kununua bidhaa kubwa kama trekta,gari au combine harvester kupitia Alibaba naomba kujua is real?View attachment 1509784

Fanya malipo kupitia PayPal, unapata guarantee that the machine will arrive, if it doesn’t you get refunded
 
Ndugu zangu kuna uchawi gani kuagiza bidhaa China mbona Bei ya cbm 1 ni Kubwa kuisafirisha nyinyi Mnafanyaje naomba kujua please
 
watu wanatumiaga ali express kuna baadhi ya makampuni ni cheap mfano Canaio,Singapore post
Nayapataje hayo Mkuu na Taratibu zao zipoje?

lakini mimi nataka kuagiza Mzigo mkubwa please nipe mwongozo juu ya hilo
 
Nayapataje hayo Mkuu na Taratibu zao zipoje?

lakini mimi nataka kuagiza Mzigo mkubwa please nipe mwongozo juu ya hilo
Kwa mzigo mkubwa ingia Alibaba. Wasiliana na unique air cargo au silent ocean agents wakusaidie.
******************************"****

*wagen karibuni unique aircargo mwanamapinduzi wa kwel kwenye biashara ya usafirishaji kwa njia ya anga*
kwa sasa tupo wazi mda wote hapa kariakoo mtaa wa pemba na livingstine na pia china pale xiaobei wapo wazi muda wote wale ambao walituma mizgo yao tarhe 27na kurud nyuma imeshafika ofs kwetu mnakarabisha kuja kuchukua waliotuma wiki hii kaen mkao wa kula pia tunapakia mzigo jumapili naomba muwasiliane na wamasupplier wenu wawaishe mzigo at least by jumamos saa 12 saa za china iwe imeshafika tayr ofsn kwetu china
in case of adress wape hii hapa 广州市荔湾区 岭南湾畔 西湾路.湾畔大街C1栋1206 (马查)18617335150
na pia kwenye mzigo wako aandike jina lako pemben iwe rahis kuutambua
china contact person @⁨+255 655 124 177⁩and @⁨+86 186 8025 6564⁩ tanzania
nichek mimi au @⁨+255 784 064 956
 
Ukiwa Alibaba unawasilianaje na Silent ocean au Unique
 
Ukiwa Alibaba unawasilianaje na Silent ocean au Unique
Watafute Kwanza hao unique air cargo kwa mawasiliano yao ambayo nimekuwekea hapo. Watakuelekeza utaratibu mzima. Kuna anuani ya kichina nimekuwekea hapo juu ambayo Ni anuani ya unique air cargo huko china.
Sasa ukishamaliza kunegotiate na seller huko Alibaba utampa hiyo address ya unique air cargo ya china ili atume mzigo kwao. Wao wataupokea na kuuleta Tanzania
Lakini watafute Kwanza hao unique air cargo wakuelekeze vizuri anuani zao na kila kitu.
Hawa silent ocean nao ukiwagoogle utapata anuani zao.
 
Barikiwa sana
 
Nimejaribu kuagiza bidhaa nnje, kila nikijaribu kwa ebay inanitaka niweke namba ya card ya biashara, kwasababu sina nikaamua kudownloas app ya amazon pia inanitaka nifanye hivyo hivyo. Kiukwel sina hiyo card na wala sijui naipatia wapi.

Ninachoomba mnisaidie kunielewesha. Je, haiwezekani kuagiza bidhaa na kuletewa mpaka ulipo bila namba za kadi ya malipo?

Na kama kuna ulazima wa kuwa na kadi ya malipo. Je, ninaipata wapi? Namaanisha utaratibu upi unafuatwa ili kuipata hyo card?

Ahsanteni!
 
Namba ya kadi ya MasterCard ndio inatakiwa ili wakate hela ya kununulia hiyo bidhaa. Sijaona sehemu ya namba ya kadi ya biashara.
 
Back
Top Bottom