Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kukopakopa ni laana. Unakopa salio, unakopa songesha, unakopa M Pawa, unakopa ASA, unakopakopa tu, mikopo ya mtandaoni unakopa na hulipi, unajitafutia ufukara kwa mikono yako mwenyeweTaasisi zote za mikopo hizi bado mnakopeshana?
Binafsi ni either nikusaidie ama sina, Habari za mikopo sio njema.
Unaweza ukarogwa kwa pesa yako mwenyewe, kisa unaidai.Imani tu... ingawa kukopesha/kukopeshwa kunahatarisha urafiki au undugu wenu.
Kuna watu kwenye kukopa wapo vzr, kurudisha sasa inakuwa kesi, atanuna, ataleta maneno, atakuchukia, na mbaya zaidi atashirikisha watu kuhusu deni lako wakati kipindi anakopa hao watu hakuwaambia.
Jamaa ana mantikiSiri ya utajiri ni ubahili
Kwanini makanisa yanakusanya sadaka, hayalipi kodi na wala hayawakopeshi waumini ili wajikwamue kiuchumi?Nikopesheni na mimi jamani.....nijue kitakachowapata
Jamaa ana mantiki
SAdaka wanalipa wahudumu na kulipia gharama za uendeshaji wa kanisa mkuu.Kwanini makanisa yanakusanya sadaka, hayalipi kodi na wala hayawakopeshi waumini ili wajikwamue kiuchumi?
Upo sahihi hapa,ila kwamba ukimkopesha mtu unakufa mkuu?SIRI YA UTAJIRI NI UBAHILI
Mwanzisha thread kakosea anapofungamanisha mikopo na uchawi au imani potofu. Ninachojua mimi ni kuwa kukopa na kukopesha kunatakiwa kusifanywe na watu binafsi bali taasisi zenye kazi hii. Hasa ngozi nyeusi, siyo waaminifu. Wengi tumeshapoteza fedha kwa sababu tu waliokopa walitugeuka.Mikopo imevunja mahusiano mengi hasa undugu na urafiki. Ni kheri kama una uwezo umpe mtu hata robo ya anachokiomba lakini sio kumkopesha maana wengi huwa wapole kwenye kukopa Ila kwenye kurejesha mtihani