Jijengee mfumo wa kutompa mtu ahadi yoyote kuhusu jambo au kitu chochote

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu.

Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje.

Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi.

Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokitaka ,hivyo na wewe don't promise anything to anyone. Kuwa MTU Wa surprise tu.

In 2024 embrace hiyo principle inaitwa Avoid entitlement trap ur life will be safe more than ever.

MTU hatoweza tena kukulaumu kuwa ulimnyima kitu ,because you never promise anything to him or her.

Hata sisi pia tusiweke matarajio makubwa kutoka Kwa MTU yeyote tuwe na kiasi .

Play smart.
 
Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu.

Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje.

Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi.

Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokita ,hivyo na wewe don't promise anything to anyone. Kuwa MTU Wa surprise tu.

Andiko zuri
 
ANDIKO TAMU SANA HILI.
 
Basi huielewi ahadi mkuu. Ukishasema "ngoja tuone inakuweje". Tayari umempa ahadi. Yaani hilo neno ni faraja sawa na kuahidiwa tu. Fikiria kwa undani una tatizo kubwa,halafu mtu anakupa neno hilo. Tayari unaona umeutua mzigo,na kwa kawaida,ataacha hata kuhangaikia nguvu sehemu nyingine. Atakutegemea kwa hiyo lugha.
 
Mimi niliingia mkenge na akili za liquor nikawaahidi madogo vibunda vya sikukuu, kesho yake nakuja gundua sina pesa na zimebaki siku mbili nilifight balaa balaa kulinda uaminifu na brand kama Kaka, kweli sitoweka ahadi tena nitakua mtu wa surprise napopata ili nikikosa nitulie ka sipo.

Hata wapenzi wetu tusiwape ahadi za kuwaoa tutapata lawana na kila sababu ya kulogwa.
 
Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu.

Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje.

Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi.

Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokita ,hivyo na wewe don't promise anything to anyone. Kuwa MTU Wa surprise tu.

In 2024 embrace hiyo principle inaitwa Avoid entitlement trap ur life will be safe more than ever.

MTU hatoweza tena kukulaumu kuwa ulimnyima kitu ,because you never promise anything to him or her.

Hata sisi pia tusiweke matarajio makubwa kutoka Kwa MTU yeyote tuwe na kiasi .

Play smart.
Fact mkuu
 
Mimi niliingia mkenge na akili za liquor nikawaahidi madogo vibunda vya sikukuu, kesho yake nakuja gundua sina pesa na zimebaki siku mbili nilifight balaa balaa kulinda uaminifu na brand kama Kaka, kweli sitoweka ahadi tena nitakua mtu wa surprise napopata ili nikikosa nitulie ka sipo.

Hata wapenzi wetu tusiwape ahadi za kuwaoa tutapata lawana na kila sababu ya kulogwa.
Hayo majina mnayojipa hata kama ni kwa muda tu huwa yanaumba. Majina mbona mengi tu? Mwingine kajiita Jan-uary,kwa maana yule waziri mtu anaewapitisha Watz kwenye mateso
 
Back
Top Bottom