adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Kuna watu hawapendi kusikia neno HAPANA.
Ubaya unaanza kwenye neno HAPANA.
Na ndio maana sasa unasikia kauli ngoja tuone😀😀😀😀😀
Tujitahidi tu kwa namna yoyote usikose balance katika haya maisha.
Vitu kama Ada, hiyo sio ermegency ni vina muda wa kujiandaa.
Tenga fungu lako tokana na uwezo wako,matumizi na fedha vizisidi uwezo wako na kama mtu wa familia,anza na kuangalia familia yako kwa kuwa na balance yenye akili.