Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya jina ni kuitika tu. Hata ukiitwa jiwe kama umetambua ni wewe unahitajika itika.Hayo majina mnayojipa hata kama ni kwa muda tu huwa yanaumba. Majina mbona mengi tu? Mwingine kajiita Jan-uary,kwa maana yule waziri mtu anaewapitisha Watz kwenye mateso
Ikikupendeza be straight foward, sina, sina. Unamwambia mtu ukweli.....hio subiri tuone hali itakuwaje nayo imekaa kama kumpa mtu tamaaKatika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu.
Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje.
Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi.
Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokita ,hivyo na wewe don't promise anything to anyone. Kuwa MTU Wa surprise tu.
In 2024 embrace hiyo principle inaitwa Avoid entitlement trap ur life will be safe more than ever.
MTU hatoweza tena kukulaumu kuwa ulimnyima kitu ,because you never promise anything to him or her.
Hata sisi pia tusiweke matarajio makubwa kutoka Kwa MTU yeyote tuwe na kiasi .
Play smart.
Unabidi kujua neno HAPANA au SITAKI sio neno zuri.Ikikupendeza be straight foward, sina, sina. Unamwambia mtu ukweli.....hio subiri tuone hali itakuwaje nayo imekaa kama kumpa mtu tamaa
Mie mwenza wangu nikimuomba kitu huniambia tuseme Insha'Allah, anajua akinikosesha simple atajibu tu kuwa Mungu Hajajaalia 😊 😅
HAPANA AU SITAKI kweli sio neno zuri hata kidogo....mie hata kwa watoto wangu niliowazaa siwezi kuwaambia hivyo.Unabidi kujua neno HAPANA au SITAKI sio neno zuri.
Katika kitabu cha The art of saying no unabidi kutumia maneno ambayo mwombaji yatamfanya aweze kuendelea kutazama alternative tofauti tofauti.
Mfano wewe ukimjibu hapana hii itamfanya apoteze tumaini kuwa hata MTU mwingine .atamjibu hivyo-hivyo ukiwa hauna huwezo wa kumpa kitu MTU tumia hiyo njia ya "Ebu tusubiri hali kwa sasa itasemaje"
Umesema vema kiongozi, ahadi ni chanzo kikubwa cha tatizo la akili kwa muahidi na aneahidiwa, tukifuata huu mwongozo utatusaidia kuwa huru na kuboresha afya ya akili🙏🙏Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu.
Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje.
Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi.
Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokita ,hivyo na wewe don't promise anything to anyone. Kuwa MTU Wa surprise tu.
In 2024 embrace hiyo principle inaitwa Avoid entitlement trap ur life will be safe more than ever.
MTU hatoweza tena kukulaumu kuwa ulimnyima kitu ,because you never promise anything to him or her.
Hata sisi pia tusiweke matarajio makubwa kutoka Kwa MTU yeyote tuwe na kiasi .
Play smart.
Au ngoja tusikilizie upepoSasa hivi nitakuwa mtu wa "ngoja nione hali itakavyokuwa"
Tatizo usipowaahidi ndoa hawatoi papuchi.Mimi niliingia mkenge na akili za liquor nikawaahidi madogo vibunda vya sikukuu, kesho yake nakuja gundua sina pesa na zimebaki siku mbili nilifight balaa balaa kulinda uaminifu na brand kama Kaka, kweli sitoweka ahadi tena nitakua mtu wa surprise napopata ili nikikosa nitulie ka sipo.
Hata wapenzi wetu tusiwape ahadi za kuwaoa tutapata lawana na kila sababu ya kulogwa.
Una amani lakini watu wako wanakuona mnoko, mbahili. Hutojua sababu hawatokuambia.Mimi tangu nijifunze kusema hapana, sina, siwezi nimekua na amani sana madeni mengine ni kujitakia tu.
Na hili ndo linatutesa vijana tafafhali Mama Samia aingilie kati.Tatizo usipowaahidi ndoa hawatoi papuchi.
Kweli kabisaUna amani lakini watu wako wanakuona mnoko, mbahili. Hutojua sababu hawatokuambia.
Nacheka kama mazuri smart 😁😁😁😁😊!
Uzuri wa binaadamu hata ukiwa wanavyotaka watasema tuUna amani lakini watu wako wanakuona mnoko, mbahili. Hutojua sababu hawatokuambia.
Hakika promises and expectations ni chanzo cha dissapointmentsKatika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu.