DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu.
Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje.
Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi.
Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokita ,hivyo na wewe don't promise anything to anyone. Kuwa MTU Wa surprise tu.
In 2024 embrace hiyo principle inaitwa Avoid entitlement trap ur life will be safe more than ever.
MTU hatoweza tena kukulaumu kuwa ulimnyima kitu ,because you never promise anything to him or her.
Hata sisi pia tusiweke matarajio makubwa kutoka Kwa MTU yeyote tuwe na kiasi .
Play smart.
ANDIKO TAMU SANA HILI.Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu.
Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje.
Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi.
Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokita ,hivyo na wewe don't promise anything to anyone. Kuwa MTU Wa surprise tu.
In 2024 embrace hiyo principle inaitwa Avoid entitlement trap ur life will be safe more than ever.
MTU hatoweza tena kukulaumu kuwa ulimnyima kitu ,because you never promise anything to him or her.
Hata sisi pia tusiweke matarajio makubwa kutoka Kwa MTU yeyote tuwe na kiasi .
Play smart.
Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje
Utaishi maisha ya amani sanaSasa hivi nitakuwa mtu wa "ngoja nione hali itakavyokuwa"
πππππππΎπΊSasa hivi nitakuwa mtu wa "ngoja nione hali itakavyokuwa"
Fact mkuuKatika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu.
Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje.
Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi.
Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokita ,hivyo na wewe don't promise anything to anyone. Kuwa MTU Wa surprise tu.
In 2024 embrace hiyo principle inaitwa Avoid entitlement trap ur life will be safe more than ever.
MTU hatoweza tena kukulaumu kuwa ulimnyima kitu ,because you never promise anything to him or her.
Hata sisi pia tusiweke matarajio makubwa kutoka Kwa MTU yeyote tuwe na kiasi .
Play smart.
Sasa hivi nitakuwa mtu wa "ngoja nione hali itakavyokuwa"
Hayo majina mnayojipa hata kama ni kwa muda tu huwa yanaumba. Majina mbona mengi tu? Mwingine kajiita Jan-uary,kwa maana yule waziri mtu anaewapitisha Watz kwenye matesoMimi niliingia mkenge na akili za liquor nikawaahidi madogo vibunda vya sikukuu, kesho yake nakuja gundua sina pesa na zimebaki siku mbili nilifight balaa balaa kulinda uaminifu na brand kama Kaka, kweli sitoweka ahadi tena nitakua mtu wa surprise napopata ili nikikosa nitulie ka sipo.
Hata wapenzi wetu tusiwape ahadi za kuwaoa tutapata lawana na kila sababu ya kulogwa.