Jijengee mfumo wa kutompa mtu ahadi yoyote kuhusu jambo au kitu chochote

Ikikupendeza be straight foward, sina, sina. Unamwambia mtu ukweli.....hio subiri tuone hali itakuwaje nayo imekaa kama kumpa mtu tamaa

Mie mwenza wangu nikimuomba kitu huniambia tuseme Insha'Allah, anajua akinikosesha simple atajibu tu kuwa Mungu Hajajaalia 😊 πŸ˜…
 
Unabidi kujua neno HAPANA au SITAKI sio neno zuri.

Katika kitabu cha The art of saying no unabidi kutumia maneno ambayo mwombaji yatamfanya aweze kuendelea kutazama alternative tofauti tofauti.

Mfano wewe ukimjibu hapana hii itamfanya apoteze tumaini kuwa hata MTU mwingine .atamjibu hivyo-hivyo ukiwa hauna huwezo wa kumpa kitu MTU tumia hiyo njia ya "Ebu tusubiri hali kwa sasa itasemaje"
 
HAPANA AU SITAKI kweli sio neno zuri hata kidogo....mie hata kwa watoto wangu niliowazaa siwezi kuwaambia hivyo.

Straight foward ninyokusudia hapa ni ile kumjulisha mtu kuwa kitu haiwezekani, usitumie neno la kumpa tamaa. Kama amekutaka umsaidie shida yake unamwambia tu sipo vizuri, mie mwenyewe nina jambo kadha wa kadha so hilo la kwako siataliweza.
binafsi napenda sana mtu alie straight foward, shuwa sina makasiriko nae kwa kuwa kaniambia ukweli, iwe kwa simu au hata face to face
 
Umesema vema kiongozi, ahadi ni chanzo kikubwa cha tatizo la akili kwa muahidi na aneahidiwa, tukifuata huu mwongozo utatusaidia kuwa huru na kuboresha afya ya akiliπŸ™πŸ™
 
Tatizo usipowaahidi ndoa hawatoi papuchi.
 
Nimeelewa sana. Hii kitu kuna Bibi na Babu zaku wawili hata uahidi nini hawakuachi wanakumbuka na kudai hadi mwisho. Pia inakushusha hadhi na unaonekana sio wa kuaminika.
 
Mi huwa nasema, "kwa sasa sina uwezo wa kukusaidia, ikitokea tutaona inakuaje, ila usichoke kutafuta kwingine"
 
Hata sisi pia tusiweke matarajio makubwa kutoka Kwa MTU yeyote tuwe na kiasi .
 
Hakika promises and expectations ni chanzo cha dissapointments

Lakini mbona hiyo kauli ya ebu tuone hali itakuaje nayo imekaa kama tayari ni promise? kwanini usimwambie tu sina yaishe hapohapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…