Jijengee mfumo wa kutompa mtu ahadi yoyote kuhusu jambo au kitu chochote

Kuna watu hawapendi kusikia neno HAPANA.
Ubaya unaanza kwenye neno HAPANA.
Na ndio maana sasa unasikia kauli ngoja tuoneπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Tujitahidi tu kwa namna yoyote usikose balance katika haya maisha.

Vitu kama Ada, hiyo sio ermegency ni vina muda wa kujiandaa.
Tenga fungu lako tokana na uwezo wako,matumizi na fedha vizisidi uwezo wako na kama mtu wa familia,anza na kuangalia familia yako kwa kuwa na balance yenye akili.
 
Hakika promises and expectations ni chanzo cha dissapointments

Lakini mbona hiyo kauli ya ebu tuone hali itakuaje nayo imekaa kama tayari ni promise? kwanini usimwambie tu sina yaishe hapohapo?


MTU anapokuomba anakuwa amekuinua au kukuweka katika status Fulani ya Juu.

Ukisema sina inakushusha , na pia unamfanya muombaji asiendelee kuweka efforts za kutafuta kwa MTU mwingine.

Ukimwambia mambo hayajakaa sawa Ila ngoja tuendelee kuangalia hii huleta tumaini kwa MTU na kumfanya asikuchukie wala kukuwazia vibaya.

Lengo nikuendelea kuwa at the safe side bila kugombana na MTU wala kutafsirika vibaya .

Saikolojia ya muombaji huwa inapenda kupewa matumaini na matuamini hutegemea zaidi na majibu anayokutanayo akiomba akaambiwa sitaki na watu wawili hufanya apoteze focus mapema .

So Kama upo broke (umefulia) ukiombwa usiseme sitaki au sina Ila sema Ebu tusikilizie mambo yakikaa sawa tutawezeshana.
 
Asante sana. Ushauri mzuri
 
Yes.
Don't keep a promise that you can't make!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…