Jiji la Arusha lina watu nadhifu na wasafi kuliko majiji yote

Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira.

Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala unayoipata ni ya manukato mazuri, hata makondakta wao ni nadhifu wakiwa na nguo nzuri na safi.

Sehemu nyingi pia za umma za biashara wanajitahidi sana kufanya usafi na kuweka mazingira katika hali nzuri.
Kuvaa viatu vikubwa na mashati oversize ndio unadhifu?
 
kweli kabisa kumbe ni tofauti sana na watu wanavyoona kwenye mitandao
Kwanza kwa Tanzania hii sijaona mkoa watu wanapenda dini kama Arusha siku za jumapili utaona watu wanatoka kanisani kwa misururu, Arusha ndio sehemu mikutano ya injili inajaza sana, juzi makonda alikua na maombi ya kitaifa mji ulisimama, safina wakifanyaga maombi pale mji unasimama, Kikundi kidogo Cha watu wanaojiita wadudu ndio wamekuja kuharibu taswira ya mji wa Arusha hasa miaka ya hivi karibuni mbaya zaidi vyombo vya habari ndio vinawapa hao airtime kwa vile wanajua wabongo hatupendi vitu vya maana, Arusha imekua ikiongoza mitihani yote ya la 7 na form 4 kitaifa lakini hutasikia chochote kutoka Arusha zaidi ya bangi na wadudu inasikitisha sana
 
Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira.

Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala unayoipata ni ya manukato mazuri, hata makondakta wao ni nadhifu wakiwa na nguo nzuri na safi.

Sehemu nyingi pia za umma za biashara wanajitahidi sana kufanya usafi na kuweka mazingira katika hali nzuri.
Nimebaini East Africa, Arusha ndio mjini

JCB MAKALLA
 
Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira.

Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala unayoipata ni ya manukato mazuri, hata makondakta wao ni nadhifu wakiwa na nguo nzuri na safi.

Sehemu nyingi pia za umma za biashara wanajitahidi sana kufanya usafi na kuweka mazingira katika hali nzuri.
Chai
 
Maeneo ya Jiji ndio masafi labda huko wamejaa wavuta bange tu
 
Back
Top Bottom