View attachment 3152531
Hao kwenye picha ni wana-Arusha katika picha ya miaka ya 1990s. Ni mkoa ambao watu wake wana exposure miaka mingi na ni wasafi true, pamoja na kilimanjaro, utalii umechangia pakubwa kwa sababu ya interaction na watu wa mambele huko. Hata video za kwanza za uimbaji Tanzania zenye ubora zilianza kurekodiwa Arusha kwenye studio za Habari Maalumu. So nakubaliana na wewe. Kasoro tu ni vile vidaladala vipanya, vinachafua mji wekeni mabasi ya daladala yenye hadhi sawa na jiji la utalii, watalii wanaogopa kupanda mle.