Jiji la Arusha lina watu nadhifu na wasafi kuliko majiji yote

Jiji la Arusha lina watu nadhifu na wasafi kuliko majiji yote

View attachment 3152531
Hao kwenye picha ni wana-Arusha katika picha ya miaka ya 1990s. Ni mkoa ambao watu wake wana exposure miaka mingi na ni wasafi true, pamoja na kilimanjaro, utalii umechangia pakubwa kwa sababu ya interaction na watu wa mambele huko. Hata video za kwanza za uimbaji Tanzania zenye ubora zilianza kurekodiwa Arusha kwenye studio za Habari Maalumu. So nakubaliana na wewe. Kasoro tu ni vile vidaladala vipanya, vinachafua mji wekeni mabasi ya daladala yenye hadhi sawa na jiji la utalii, watalii wanaogopa kupanda mle.
Vidaladala vya Arusha vya hovyo sana lakini pia vinachelewa kujaa sana, sijui kama watawezana na eicher za Daslamu.
 
Hiace ya abira 15 ndio usafiri sahihi kama unajali muda, safari inaanza na kuisha faster, kufurahia karandinga la eicher la watu 50 ni ujuha.
Kutoka kikatiti mpk kilombero ni karibu ? Na hapo katikati Kuna vituo vingp ? Na haisimami au inapitiliza directly kama dart ya express?

Arusha kuzuri hasa mji upo mlimani plus baridii lake, view ya mount Meru,

Lakini jiji lile usafiri ubadilishwe ziwe coaster kama Dsm maake Arusha jiji kubwa na my dream home hapo badae...
 
Inategemea uko meru gani isijekuwa Ngaramtoni😂
kwanini ngaramtoni

Basi kipindi Cha nyuma nikajua ngaramtoni kwa hovyo......

Nilivyofika pale center.... Nikaingia kama naenda selian ya ngara aseeh Kuna nyumba nzuri..... Magetini tuu mazingira mazuri sana

zunguka mpaka huku shule ya SOS nilikupenda ngaramtoni

Sema Kuna vumbi kipindi Cha kiangazi so poa....
 
Ngaramtoni nzuri ni Kishore hadi Olmotonyi.
Huko watu wameshusha mijengo ya hatari
 
Of course imepewe tuu maua yake aseeh 👊 Ila Arusha Pako vizuri aseeh
Yes, Arusha ina mandhari nzuri hasa chini ya mlima Meru.

Ninamaanisha ukitokea Moshi...kuanzia Usariver upande wa juu, yaani uelekeo wa shina la mlima Meru.

Huko juu kuna view nzuri, kijani, uoto wa asili, na vilima vinavyovutia sana.

Wajinga hawataelewa
 
hasa ukianzia hapo usa river kuko vizuri

Hata maji ya chai kwa kule juu..... hapako vibaya

Though ukiikamata usa river kwenda leganga, mpk ufike Town Kuna mandhari so haba

Ila kule momela, aseeh kuko vizuri na danish it's very amazing

Arusha Geneva of Africa...... Ngoja nivamiwe na wana jf
 
Kutoka kikatiti mpk kilombero ni karibu ? Na hapo katikati Kuna vituo vingp ? Na haisimami au inapitiliza directly kama dart ya express?

Arusha kuzuri hasa mji upo mlimani plus baridii lake, view ya mount Meru,

Lakini jiji lile usafiri ubadilishwe ziwe coaster kama Dsm maake Arusha jiji kubwa na my dream home hapo badae...
Kuna coaster nyingi sana za mjini kikatiti mkuu sasa hiv abiria wengi wanaopt coaster lakin bado kunaviambaza vya rushwa katika nchi yetu Laura walishapiga marufuki hiace kwa arusha na mwanzo tangu 2016 lakn wenye magari madogo viace wanahonga ili waongezewe muda ambavoni usumbufu kwa wasafir
 
Oooh kwa hadhi ya Arusha waekewe hata mwendokasi...... Au coaster ziingie mzigoni vile vipanya vistaafu sasa,, maake ule mji una ukubwa wake tuwe tuu wakweli.....

Arusha Geneva of Africa......
 
Ukiwa dar usithubutu kupanda daladala zile za asbh mapema sana maana utakayokutana nayo yanafurahisha. kuna mixa za harufu midomo ya ambao hawajaswaki toka jana, wengine ndo wanatoka kidimbwi na harufu za mipombe na mixa za harufu kama nnya maana wengine wanatoka mapema sana hawapati muda wa kujiswafi swsw. dar watu ni wachafu sana
 
Kuna tabia zinasababishwa na mazingira na hali ya hewa.Arusha ni sehemu yenye baridi kumkuta mtu na suti ni jambo la kawaida hivyo lazima utamuona ni mtu smart kumbe anajikinga na baridi.
Mimi nimeoa miaka 30 iliyopita nikaondoka Arusha suti yangu ya Harusi bado ipo inanibada sijawahi shona suti tena sababu niko sehemu ambayo suti sio issue wala koti la baridi.

Arusha unaweza kaa siku mbili bila kuoga na usisikie harufu ya mwilini mwa mtu au hata soksi. Dar unatoka kuoga ile unakanyaga kizingiti cha bafuni jasho linaanza kukutoka.
Kwa tabia za watu wa Arusha wangeletwa Dar ungesikia uvundo wa kufa mtu.
Katika sayansi ukipuliza perfume vile iko very volatile ukiwa Arusha inakaa mwilini muda mrefu sababu ya density ya air au kiufupi hewa inakuwa nzito hivyo perfume haitoki mwilini.Dar hewa ni nyepesi sana au densisty ya hewa ni ndogo mno na hapo hapo humidity au unyevu wa hewa ni mkubwa kwa hiyo inaondoa hiyo perfume yako iliyo kwenye mwili.
Dar watu wenye uwezo ndio wanaoonekana watanashati sababu wanatoka kwenye kiyoyozi kwenye gari anaingia nyumbani kiyoyozi.

By the way ngoja niweke utani kidogo wana R Chuga msichukie mimi nimekulia huko.Watu wanaotumia kitu cha Arusha wakati mwingine baadhi yao wale wanaokula vizuri na maisha mazuri cha Arusha kinamtuma kuwa mtanashati sana na ndio maana wako hivyo.Niwape mfano watu wa jamii ya rasta zile nywele unaweza kuona ni uchafu lakini kiukweli ni nywele safi sana ungesikia wananuka.

Naomba kutoa hoja
 
Attachments

  • Screenshot 2024-12-20 094114.png
    Screenshot 2024-12-20 094114.png
    427.6 KB · Views: 4
Mkuu sijakupinga kama hawajipendi, lahasha wanajipenda sana na nipo huku Meru yapata miaka 9 sasa nauzoefu na ninachokwambia kwa baadhi ya maeneo, mwenyewe natupia pamba fresh kabisa na unyunyu juu😁
Ok, tukichape kimeru sasa...kwasindiswa mbee😄😄
 
Arusha is overrated..
Watu wa huko hata baridi wanahisi kwa TZ nzima ndio panaongoza.
Kwahyo baridi ndio hali ya hewa nzuri
Arusha ndio mji wenye hali ya hewa nzuri bongo hii hakuna joto wala baridi Kali kama la tukuyu na njombe
 
Back
Top Bottom