Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 1,513
- 2,019
Ww me au keWatu wa Arusha nawakubali sana kwenye kupendeza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww me au keWatu wa Arusha nawakubali sana kwenye kupendeza.
Hata sio suti, ni uniforms za kawaida tu.Sasa angalia hapa dar, pamoja na joto loote hili kondakta na dereva wa daladala wanaambiwa wavae suti.
Yaani mtu unakaa chini unajiuliza "Hivi hawa viongozi wetu walienda shule kusomea ujinga"
Wao wanashinda kwenye ac ndio maana suti wanaona poa tu,.
Indeed 😕Another craps
Vp umechumbiwa au umechumbia Arusha?Watu wa Arusha nawakubali sana kwenye kupendeza.
Kusema ukweli mji wa Arusha umekaa kilocal sana. Ubishi wa wenyeji mwingiiiii na wanachobisha hata analysis hawajafanya. Mji watu wanasafiria vigari vimekatwa juu na kuwa kama vibanda vya kahawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira.
Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala unayoipata ni ya manukato mazuri, hata makondakta wao ni nadhifu wakiwa na nguo nzuri na safi.
Sehemu nyingi pia za umma za biashara wanajitahidi sana kufanya usafi na kuweka mazingira katika hali nzuri.
Mji mvua ikinyesha kidogo tu kila sehemu matope full mbuga.Vitoto vya elfu 2 vikishibaga chips mayai na take away baada ya kuhongwa elfu 10 na mishangazi ambayo hiyo mishangazi sisi ndo wake zetu vinaandika upupu. Ona kama hichi kimeenda arusha kimepanda hiace kimesikia harufu ya marashi ya gen z mwenzie wa kike kimeanzisha sredi.
Acha ujinga wewe huyo katukuta na utamaduni na ataondoka atatuacha tulivyoArusha wamebadilishwa na RC Makonda
Kwa watu wanaokwenda na muda vi-hiace vya Arusha vya watu 15 ndio usafiri sahihi sana, sio mnakalishwa kwenye karandinga la eicher la watu 50, kujaa shida, linapakia na kushusha vituo 30 safari kama ya kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wakati kamji kadogo tu.Kusema ukweli mji wa Arusha umekaa kilocal sana. Ubishi wa wenyeji mwingiiiii na wanachobisha hata analysis hawajafanya. Mji watu wanasafiria vigari vimekatwa juu na kuwa kama vibanda vya kahawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Hiace ya abira 15 ndio usafiri sahihi kama unajali muda, safari inaanza na kuisha faster, kufurahia karandinga la eicher la watu 50 ni ujuha.Mji mvua ikinyesha kidogo tu kila sehemu matope full mbuga.
Mji bado una tumia hiace mwendo wa kuinama.
Arusha hapana Bora Sumbawanga😂😂
We falla uko chuga😂😂Hujatuona jana ndo tulikua tumependeza zaidi ya leo
Nakupinga, watu wa Arusha kwenye kuvaa wanajua/tunajuaNi maeneo ya town town tu, ndani ndani huko sio powa na baridi pipo hazipeleki maji bafuni.
Wewe tembea Meru uone wanavyojipenda hata kuliko townNi maeneo ya town town tu, ndani ndani huko sio powa na baridi pipo hazipeleki maji bafuni.