Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anasemaje? ExtrovertNakubaliana nawewe ila Msafara wa mamba kenge hawakosi, daladala za kwa moromboo nyingi chafu plus makondakta wake
Nje ya Mada, kwanini tudaladala twa Arusha ni tudogodogo vile as if abiria wake ni wapare tu tena wa huko gonja ndanindani
Amewavunjia sana heshima😂😂Hahahaha mwehu kabisa huyo, wapare wanapanda coaster sikuhizi
Bila picha mkuu.Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira.
Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala unayoipata ni ya manukato mazuri, hata makondakta wao ni nadhifu wakiwa na nguo nzuri na safi.
Sehemu nyingi pia za umma za biashara wanajitahidi sana kufanya usafi na kuweka mazingira katika hali nzuri.
Cha Arusha hujakiongeleaHujatuona jana ndo tulikua tumependeza zaidi ya leo
Hao lachuga ndio wasafi!Mtu kwao.Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira.
Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala unayoipata ni ya manukato mazuri, hata makondakta wao ni nadhifu wakiwa na nguo nzuri na safi.
Sehemu nyingi pia za umma za biashara wanajitahidi sana kufanya usafi na kuweka mazingira katika hali nzuri.
Nilikiwa napitia comment ila hii umeua ni ukweli mtupu yani wenye raha labda wanaofanya static work ila kama unatembea utakoma 😄😄😄Mji mvua ikinyesha kidogo tu kila sehemu matope full mbuga.
Mji bado una tumia hiace mwendo wa kuinama.
Arusha hapana Bora Sumbawanga😂😂
Nilikiwa napitia comment ila hii umeua ni ukweli mtupu yani wenye raha labda wanaofanya static work ila kama unatembea utakoma 😄😄😄
Mi mwenyew bolt natumia sana ila suala la matope mtaani lipo sana tuuAs if Kila anayeishi Arusha anapanda hizo hiace, Arusha Kuna Costa, Kuna Bajaj, Kuna boda, Kuna Uber na bolt wewe tu na usafiri wako ila kumbuka Arusha ni mji wa kitalii usije Arusha kama hauna hela ni Bora ubaki huko kijijini kwenu utaumia
Walojaa pale ni warangi, wanyaturu + wambuluHalafu wengi ni wenyeji wa manyara na singida chunguza😁
Kuna sehemu kule Barabara ya eac Kuna tope balaa😂Mi mwenyew bolt natumia sana ila suala la matope mtaani lipo sana tuu