Jiji la Dar limenishinda kuishi. Wengine mnawezaje au mnajikaza?

mimi tangu nihamishie makazi yangu mkoani morogoro wilaya ya wilaya kijiji cha kilosa kwa mpepo sijawahi kutamani kurudi dsm. japo hapo kariakoo nimewekeza mamilioni ya pesa. hakika dsm hapafai ndio serikali imepakimbia ikahamia kijijini dodoma
wakazi wengi wa Dar wana ulimbukeni, wakishatoka huko vijijini kwao wakatua Dar basi wanais wamefika mbinguni 😁 wengine mpaka wanakutelekeza kwao kabisa
 
Tatizo wanaoishi dar wanapenda kujazana Tabata,sinza,kinondoni ,makumbusho,kijitonyama na sehemu zinazoifanana na hizo ila ukiishi nje ya mji hakuna makelele kama hayo.

Ukija Dar basi nenda kapange mbweni JKT uone kama utakutana na hizo kadhia.
 
Tatizo wanaoishi dar wanapenda kujazana Tabata,sinza,kinondoni ,makumbusho,kijitonyama na sehemu zinazoifanana na hizo ila ukiisha nje ya mji hakuna makelele kama hayo.

Ukija Dar basi nenda kapange mbweni JKT uone kama utakutana na hizo kadhia.
mimi nataka siku nikija dar niwe naishi Bagamoyo, na siktaki usumbufu wowote kutoka kwa yoyote.
 
Tatizo wanaoishi dar wanapenda kujazana Tabata,sinza,kinondoni ,makumbusho,kijitonyama na sehemu zinazoifanana na hizo ila ukiishi nje ya mji hakuna makelele kama hayo.

Ukija Dar basi nenda kapange mbweni JKT uone kama utakutana na hizo kadhia.
Shida sio kupanga Mbweni, kero zinaanza punde tu unapotoka apo kwako Mbweni kwenda sehemu nyingine
 
watu nawapa hii, Ukifika sehemu ukaanza kusikia kispika kinasema.. "sumu ya panya,mende, kunguni, viroboto dawa ya upele na miwasho ipo karibu uulize karibu ununue" ujue hapo umeshafika dar, tena ni dar ya mbagala rangi tatu.
 
Mwezi uloisha kuna villa nzuri kweli nilibook ipo Kigamboni, kwenye ramani inaonekana ipo jirani na magogoni nikasema yes, nikaamua kubolt muda huo nilkua nmefikia Oysterbay.

nikakwea zangu Bolt mpaka magogoni, kufika nawapigia simu wananambia bado sijafika wakanitumia ramani pale aisee inaonesha ni mbali sana lkn kwa kuwa ni pikipiki nikajipa moyo nikasema potelea pote twenzetu, picha linaanza Barabara mbovu mixer vumbi kama tupo Kakonko mbona nilijuta maana izo Villa kumbe zipo sehemu inaitwa Geza juu sijui Geza Ulale ilibidi nimwambie Driver Bolt turudie tu njiani maana nilikua na flight ya asubuhi sana nikawapigia simu wacacancel ile booking maana ni mbali sana. Ilinicost kama 35k, nauli ya kutoka Dar kwenda Dodoma

Kigamboni shikamoo.!!
 
Rudi kwenu tukuyu
 
Kariakoo mboni siku hizi naona makelele yamepungua sana au ni mimi maana kipindi cha nyuma ilikua sio mchezo siku hizi kuna afadhari kidogo makelele sio km vile
Nina zaidi ya miaka miwili sijawahi kutia Mguu kariakoo, this time ntajaribu kupita niwasabahi wanangu apo Msimbazi
 
Kwahiyo dogo alikuwa Malawi tu hapo, si bora ubaki Bongo tu kuliko huko Lilongwe
 
Mamilioni au sio. Mmeshakunywa chai hapo kwa shemeji yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…