Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Sehemu kubwa ya upendeleo wa Dar umeelekezwa Dom!Hata Dar kabla ya Dom ilikuwa treated hivyo na Bado inapendelewa.

Sio lazima kunielewa wewe subiria tuu vitu Kwa ground huko Dom😅😅 Haya mkuu nimekuelewa vizuri sasa
Ndio maana ya serikali kuhamia Dom,hapo zamani mlikuwa mnapendelewa nyie mnaita wenzenu wa mikoani,Sasa zamu yenu imefika.Sehemu kubwa ya upendeleo wa Dar umeelekezwa Dom!
OkChenga nyingi.
Kutesa kwa zamu!Ndio maana ya serikali kuhamia Dom,hapo zamani mlikuwa mnapendelewa nyie mnaita wenzenu wa mikoani,Sasa zamu yenu imefika.
Sio kwa ground kila wiki nipo Dodoma mkuu, ndio maana nachanganyikiwa na statement yakoSio lazima kunielewa wewe subiria tuu vitu Kwa ground huko Dom
Au siyo? Bado hamjasema mtasema tuu.Ongo Wa Mchana Kweupe
Sasa kuwa Dom sio kuijua Dom.Sio kwa ground kila wiki nipo Dodoma mkuu, ndio maana nachanganyikiwa na statement yako
Sasa kuwa Dom sio kuijua Dom.
Swali la msingi ni kwamba kasi ya biashara Dom ni kubwa kuliko Dar kama inavyotafsirika na bei ya vyumba na occupancy rate.
View: https://youtu.be/5MyUxpQsaOg?si=-cRTqrTkAAOoJkkn
Makwao saizi ni Dom hapo hapo ,hakuna makwao mengine 😂😂Dodoma inakuwa sijakataa, Dar inaendelea
Hizo bei za nyumba mnalinganisha wapi na wapi, pia elewa Dodoma ina pick sana kipindi cha matukio ya kisiasa yakiisha huwa watu wanarudi makwao .. Dodoma pazuri bana, nilipata mrangi hapo mwakani ananizalia 😅😅
Dodoma gharama zipi za maisha mkuu ?Makwao saizi ni Dom hapo hapo ,hakuna makwao mengine 😂😂
Acha stori za kujifariji,hata Mimi nataani kwenda kuishi Dom kuliko Dar ila tuu gharama za maisha sitozimudu.
Bei za viwanja hapo Dom saizi ni sawa na huko kwenu Vikindu? Unajua Dom Ina satelite Cities ngapi zinajengwa?Dodoma gharama zipi za maisha mkuu ?
Mbona unazidi vurugu akili yangu au kuna Dodoma ambayo mie siijui
Kwa mara ya kwanza katika Historia Jiji la Dodoma limepindua meza na kuwa Kimbilio la Biashara ya makazi yaani real estates.
Dom ndio Jiji linajengwa Kwa kasi makazi ya kuishi na biashara kiasi kwamba bei ya kupanga chumba Cha duka Dom ni kubwa kuliko Dar.
=============
Dodoma, mji mkuu wa kiutawala wa Tanzania, inaendelea kubadilika kwa kasi na kuwa kitovu kikubwa zaidi cha uwekezaji wa majengo ya biashara nchini.
Takwimu mpya za uchumi zinaonyesha kuwa soko la majengo ya biashara jijini Dodoma linaongozwa na ongezeko kubwa la kodi za upangishaji, kiwango cha juu cha matumizi ya majengo yaliyopo, pamoja na upungufu mkubwa wa nafasi za biashara, hali inayobadilisha kwa kiasi kikubwa mazingira ya uwekezaji wa sekta ya majengo katika Afrika Mashariki.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Utulivu wa Mfumo wa Fedha ya Desemba 2025 ya Bank of Tanzania, wastani wa kodi ya ofisi jijini Dodoma umefikia kati ya Sh30,000 na Sh35,000 kwa mita ya mraba.
Kiwango hiki kinaifanya Dodoma kuwa soko la gharama kubwa zaidi la ofisi nchini, ikiiweka mbele ya Dar es Salaam, kitovu cha jadi cha biashara, ambako kodi ya ofisi za hadhi ya juu ni kati ya Sh25,000 na Sh30,000 kwa mita ya mraba.
Miji mingine ya kibiashara kama Arusha na Mwanza ina viwango vya kodi kati ya Sh20,000 na Sh25,000 kwa mita ya mraba, huku Mbeya ikiwa na wastani wa Sh10,000 kwa mita ya mraba.
View: https://youtu.be/t7Ox-qgLeOg?si=nhRprVPt2-yJAw9u
My Take
Dom imesanufiwa kuwa Jiji la Biashara na makao Makuu ya Nchi kama Nairobi,Lilongwe au Johannesburg.
Ndani ya miaka 25 kutoka Sasa yaani 2050 Dar itakuwa kama Mombasa na Dodoma kuwa kama Addis Ababa.
Serikali ilipo ndipo Kuna pesa.Tumeona Nguvu ya Serikali Sasa ni wakati wa kujenga Miji mikuu Kila Kanda Ili kuwa vitovu vya Uchumi kwenye Kanda husika na Hilo Serikali inaweza ikiamua.
Mwanza -Kanda ya Ziwa
Kigoma- Kanda ya Magharibi
Mbeya-Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
-Mtwara -Kanda ya Kusini
-Dar & Pwani -Kanda ya Mashariki
-Arusha-Kanda ya Kaskazini
-Dom-Kanda ya Kati na Mji Mkuu.
Mwanza hupanuka yenyewe ila imekosa airport kubwa ingepiga mbio sana iko very strategic kwenye nchi za maziwa makubwa, kenya,uganda,Burundi,Rwanda na DRCSiku Dodoma ikiotesha bahari au ziwa nitakuelewa. Napapenda Dodoma, naishi Arusha, nimekulia Dar ila hiyo 25 years to come sijui.. Nguvu wangehamishia Mwanza