Jiji la Dodoma Laipiku Dar na Kuwa Kimbilio la Biashara ya Kupangisha Nyumba za Kuishi na Biashara (Frame)

Jiji la Dodoma Laipiku Dar na Kuwa Kimbilio la Biashara ya Kupangisha Nyumba za Kuishi na Biashara (Frame)

Siku Dodoma ikiotesha bahari au ziwa nitakuelewa. Napapenda Dodoma, naishi Arusha, nimekulia Dar ila hiyo 25 years to come sijui.. Nguvu wangehamishia Mwanza
Akili za kipumbavu hizi, yani Bahari na ziwa ndo kiwe kigezo cha maendeleo? We mbona zwazwa Nairobi ina bahari au ziwa

Hili mbona lishamba tumbotumbo wewe
 
Akili za kipumbavu hizi, yani Bahari na ziwa ndo kiwe kigezo cha maendeleo? We mbona zwazwa Nairobi ina bahari au ziwa

Hili mbona lishamba tumbotumbo wewe
Huna akili wewe, hujaelewa kiini cha comment yangu
 
Back
Top Bottom