Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Sema jiji lenye mpangilioDom ndio Jiji la kisasa Bongo nzima,level ya Gaborone
Jiji la kisasa ni Dar
Sema jiji lenye mpangilioDom ndio Jiji la kisasa Bongo nzima,level ya Gaborone
Huko mnakonuka shombo la uchafu na slums hakuwezi kuwa kisasaSema jiji lenye mpangilio
Jiji la kisasa ni Dar
Slums zipo hata New York City na haizuii New York kuwa jiji la kisasaHuko mnakonuka shombo la uchafu na slums hakuwezi kuwa kisasa
Dom ndio inakuja kuleta sura Mpya ya Tanzania iliyochafuliwa na Uswazi na uchafu wa DarSlums zipo hata New York City na haizuii New York kuwa jiji la kisasa
Dar ndio most modernized city in Tanzania
1. Skyscrapers and towers. Dar ina maghorofa marefu ya vioo mengi kuliko Dodoma. Maghorofa ya vioo ni modern design
2. Modern transportation infrastructure mfano BRT systems
3. Best neighborhoods, nyumba za kila architecture, design za kisasa nk
4. World class hotels
5. Financial Capital of Tanzania, banks nyingi zima HQ zao Dar es Salaam
6. A lot of supermarkets and shopping malls
7. Biggest market in Tanzania
8. Best bus stations, including the biggest one in the the country
9. Highways, flyovers and a fair amount of modern bridges
10. Neighborhoods with large number of international community like Masaki & Oysterbay
11. Industries
12. Education: Many universities including one of the best in Africa, international schools like Cambridge, IST etc
13. Fastest growing neighborhoods in Tanzania like Mbweni, Bunju, Salasala, Upanga, Masaki, Mbezi Beach, Goba, Ununio, Sinza etc
14. Entertainment activities
15. Big modern and busiest Airport in the country
16. Biggest Hospitals in the country
17. Private sector
The list goes on and on
Dar ndio most modern city hapa Tanzania. Vitu vingine ni ubishi wa kijinga tu. Endelea kujifurahisha
Sura mpya ya Tanzania hailetwi na jiji moja. Na hatutaki iwe hivyo, ndio maana watu wanataka CCM mtoke madarakani. Maendeleo yenu ya kufocus na eneo moja moja kila baada ya miaka ni uongozi wa kishamba na sio kitu cha kujivuniaDom ndio inakuja kuleta sura Mpya ya Tanzania iliyochafuliwa na Uswazi na uchafu wa Dar
Dar ndio imeharibu sura ya Nchi ndio maana Sasa Dom inakuja kufuta hiyo Kwa mbali na ArushaSura mpya ya Tanzania hailetwi na jiji moja. Na hatutaki iwe hivyo, ndio maana watu wanataka CCM mtoke madarakani. Maendeleo yenu ya kufocus na eneo moja moja kila baada ya miaka ni uongozi wa kishamba na sio kitu cha kujivunia
BullshitDar ndio imeharibu sura ya Nchi ndio maana Sasa Dom inakuja kufuta hiyo Kwa mbali na Arusha
Dar inanuka uchafu Kila mahala,hapafai kuishi binadamuBullshit
Nimekuelewesha sana kuhusu Dar kuwa kubwa na yenye mitaa mingi. Sasahivi sitaendelea tena, huelewi na sio kosa langu wewe kuwa na uwezo mdogo wa kuelewa mambo na sio wajibu wangu kukufanya uelewe simple thing like that. So whatever helps you sleep at night buddy ...Dar inanuka uchafu Kila mahala,hapafai kuishi binadamu
Umeandika kitoto Sana..tukubali ukweli Tu....Dodoma itatugalagaza soon..na ni tunu kwa taifa...Slums zipo hata New York City na haizuii New York kuwa jiji la kisasa
Dar ndio most modernized city in Tanzania
1. Skyscrapers and towers. Dar ina maghorofa marefu ya vioo mengi kuliko Dodoma. Maghorofa ya vioo ni modern design
2. Modern transportation infrastructure mfano BRT systems
3. Best neighborhoods, nyumba za kila architecture, design za kisasa nk
4. World class hotels
5. Financial Capital of Tanzania, banks nyingi zima HQ zao Dar es Salaam
6. A lot of supermarkets and shopping malls
7. Biggest market in Tanzania
8. Best bus stations, including the biggest one in the the country
9. Highways, flyovers and a fair amount of modern bridges
10. Neighborhoods with large number of international community like Masaki & Oysterbay
11. Industries
12. Education: Many universities including one of the best in Africa, international schools like Cambridge, IST etc
13. Fastest growing neighborhoods in Tanzania like Mbweni, Bunju, Salasala, Upanga, Masaki, Mbezi Beach, Goba, Ununio, Sinza etc
14. Entertainment activities
15. Big modern and busiest Airport in the country
16. Biggest Hospitals in the country
17. Private sector
The list goes on and on
Dar ndio most modern city hapa Tanzania. Vitu vingine ni ubishi wa kijinga tu. Endelea kujifurahisha
No no nooooUmeandika kitoto Sana..tukubali ukweli Tu....Dodoma itatugalagaza soon..na ni tunu kwa taifa...
Kwa mara ya kwanza katika Historia Jiji la Dodoma limepindua meza na kuwa Kimbilio la Biashara ya makazi yaani real estates.
Dom ndio Jiji linajengwa Kwa kasi makazi ya kuishi na biashara kiasi kwamba bei ya kupanga chumba Cha duka Dom ni kubwa kuliko Dar.
View: https://youtu.be/M4wpaMmLVns?si=3S0eyNuXYkSs-eak
=============
Dodoma, mji mkuu wa kiutawala wa Tanzania, inaendelea kubadilika kwa kasi na kuwa kitovu kikubwa zaidi cha uwekezaji wa majengo ya biashara nchini.
Takwimu mpya za uchumi zinaonyesha kuwa soko la majengo ya biashara jijini Dodoma linaongozwa na ongezeko kubwa la kodi za upangishaji, kiwango cha juu cha matumizi ya majengo yaliyopo, pamoja na upungufu mkubwa wa nafasi za biashara, hali inayobadilisha kwa kiasi kikubwa mazingira ya uwekezaji wa sekta ya majengo katika Afrika Mashariki.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Utulivu wa Mfumo wa Fedha ya Desemba 2025 ya Bank of Tanzania, wastani wa kodi ya ofisi jijini Dodoma umefikia kati ya Sh30,000 na Sh35,000 kwa mita ya mraba.
Kiwango hiki kinaifanya Dodoma kuwa soko la gharama kubwa zaidi la ofisi nchini, ikiiweka mbele ya Dar es Salaam, kitovu cha jadi cha biashara, ambako kodi ya ofisi za hadhi ya juu ni kati ya Sh25,000 na Sh30,000 kwa mita ya mraba.
Miji mingine ya kibiashara kama Arusha na Mwanza ina viwango vya kodi kati ya Sh20,000 na Sh25,000 kwa mita ya mraba, huku Mbeya ikiwa na wastani wa Sh10,000 kwa mita ya mraba.
View: https://youtu.be/t7Ox-qgLeOg?si=nhRprVPt2-yJAw9u
My Take
Dom imesanufiwa kuwa Jiji la Biashara na makao Makuu ya Nchi kama Nairobi,Lilongwe au Johannesburg.
Ndani ya miaka 25 kutoka Sasa yaani 2050 Dar itakuwa kama Mombasa na Dodoma kuwa kama Addis Ababa.
Serikali ilipo ndipo Kuna pesa.Tumeona Nguvu ya Serikali Sasa ni wakati wa kujenga Miji mikuu Kila Kanda Ili kuwa vitovu vya Uchumi kwenye Kanda husika na Hilo Serikali inaweza ikiamua.
Mwanza -Kanda ya Ziwa
Kigoma- Kanda ya Magharibi
Mbeya-Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
-Mtwara -Kanda ya Kusini
-Dar & Pwani -Kanda ya Mashariki
-Arusha-Kanda ya Kaskazini
-Dom-Kanda ya Kati na Mji Mkuu.
Kumekucha Dom 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DZcu6x2DH3I/?igsh=MmFxeHkwMnR4eDZm