Jiji la Dodoma ni chafu!

Hatupingani nae mkuu.. tatizo ni kweli lipo lkn sio kwa ukubwa wa namna hiyo.. hebu nitajie miji ambayo haina changamoto ya uchafu tz hii.. then niambie kuna mji unaongoza kwa uchafu na harufu mbaya kuzidi Dsm?? Kama kigezo ni hicho unachosema wewe basi na dsm hastahili kabisa kuwa Jiji..
 
hii ni mada nyingine sasa,


utalalamika sana

next jiji sijui ndo utasemaje
 

Mtoa mada amejikita kwenye uchafu tu, jambo ambalo lipo kila sehemu! Hapo nakubaliana na wewe. Ila ukija kwenye Jiji kama Jiji, Dodoma bado inatakiwa itazamwe kwa jicho la huruma.

Serikali inatakiwa iwekeze fungu la kutosha ili Mji uwe Jiji kweli.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ yaani dar wanaibeba sana ila ukweli wanaujua maeneo ya aghakani kule ferry unahisi kutapika tu harufu na shomboshombo sijui hawalioni hilo.

wanapinga dom kwa chuki si kingine
 
hii ni mada nyingine sasa,


utalalamika sana

next jiji sijui ndo utasemaje

Tofautisha kati ya kutoa maoni na kulalamika! Wakati fulani maoni yanasaidia kuwaamsha wahusika kuongeza bidii.

Au unataka tuwe tunawasifia tu! Ya kwamba Dodoma ni Jiji zuri kuliko Majiji yote Tanzania! Kwa usafi, miundombinu, nk jambo ambalo halina hata chembe ya uhalisia?
 
kwanin mnaliongelea dodom tu?
 
Mtoa mada amejikita kwenye uchafu tu, jambo ambalo lipo kila sehemu! Hapo nakubaliana na wewe. Ila ukija kwenye Jiji kama Jiji, Dodoma bado inatakiwa itazamwe kwa jicho la huruma.

Serikali inatakiwa iwekeze fungu la kutosha ili Mji uwe Jiji kweli.
Ukisema hivyo unakosea mkuu.. labda nikukumbushe hata Mwanza kipindi inapewa hadhi ya jiji haikuwa kama unavyoiona leo, mji ndio kwanza hauna hata miaka kumi tangia upate hadhi ya jiji.. taratibu mji utakushangaza
 
Unaongea vitu vya msingi sana na hujaweka picha...

Uchafu ukiacha kinyesi,,, vingine kama mpangilio huwa ni kitokana na macho ya mtu..

Ndio maana msela unaweza deki na kusafisha home siku nzima na ukaona ni kusafi lakini akija Binti utakuta ameanza upyaaa... Utafikiri hakuna ulilofanya...

Hebu weka picha tulete mtazamo... Acha maneno
 
Haya na vipi kuhusu kilimanj, area c, area d, kisasa, medeli, makulu, njedengwa, iyumbu au huko haukwenda.......? Ukute wewe ni muuza nyanya ndio maana ulikua maeneo ya sokoni
 
Hamia hata Iringa.Ni jirani tu hapo.
 
Haya na vipi kuhusu kilimanj, area c, area d, kisasa, medeli, makulu, njedengwa, iyumbu au huko haukwenda.......? Ukute wewe ni muuza nyanya ndio maana ulikua maeneo ya sokoni
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ ana chuki na mtu mmoja sasa kaamua kuifikisha kwa kuunga jiji zima
 
Unateseka ukiwa wapi??

Ok unaweza kutupa mbinu ya kulitenganisha vumbi na ardhi ya dodoma? Ile ni asilia ya eneo hilo, mengine ni kuwa mchawi tu.

Toka huko rudi kwenu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…