farharu
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 527
- 583
Hatupingani nae mkuu.. tatizo ni kweli lipo lkn sio kwa ukubwa wa namna hiyo.. hebu nitajie miji ambayo haina changamoto ya uchafu tz hii.. then niambie kuna mji unaongoza kwa uchafu na harufu mbaya kuzidi Dsm?? Kama kigezo ni hicho unachosema wewe basi na dsm hastahili kabisa kuwa Jiji..Hata kama mtapingana na mtoa mada/mimi! Bado ukweli unabaki pale pale; Dodoma haina hadhi ya kuitwa Jiji kutokana na kukabiliwa na Changamoto nyingi!
Ila sikatai; iwapo Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu mbalimbali, kwa baadaye Mji utabadilika. Ila kwa sasa hapana aisee.