Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
- Thread starter
- #101
Halmashauri ya Dodoma iliamua kujenga kwa mapato ya ndani. Arusha na Dar wangetaka wangejenga ya kwao.Okay iko wapi ya kuwatosha wote hao....
Mbona wa dar na Arusha hawakupewa nafasi hiyo ya kusubiri