Uchaguzi 2020 Jiji la Mbeya, Hata kama mnampenda Mbilinyi (Sugu) msimchague. Ili mpate maendeleo chagueni CCM

Kawashauri mazuzu wenzako maana kwetu sisi wana mbeya tulisha elimika kitambo
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Maana ya upinzani ni nn sasa.Acheni ukabila watu wa mbeya tunajua hata sababu zilizowafanya mvurugane si Sugu.Sumu ya ukabila wanambeya itawamaliza.nakumbuka hata wakati anagombea Dr Nchimbi hali ya ukabila ilijithihirisha wazi pamoja na kwamba yy ni mkazi wa mbeya.Na kwa kuwa hakuwa mzawa wa mbeya mkamtosa.tunakumbuka pia enzi ya mwaikambo pale Bima kilichotokea na mpaka sasa hambadiliki.tunafahamu mnamtaka Naibu spika na hilo liko wazi na si mtuletee sababu ati Raisi aliwasusa ni Raisi gani anayewasusa wananchi wao?ukabila wenu uliwafanya mvurugane ndipo rais akaamua mmalize kwanza matatizo yenu ndipo arudi kwenu.
 
Sasa hapo mimi ninayelipwa na wewe mkeo anatandikwa bakora kwa pesa unazompa yeye nani ana akili?

Mtu Asiyejulikana,
wewe inaelekea ndiyo wale ambao Bakhresa akikupa hata kamilioni kamoja ili amtandike mkeo "bakora" utakubali kwa kuwa amekusaidia mtaji wa kufanyia maendeleo.

pathetic!!
 
Hivi CCM ni wabaguzi?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sina akili ila mwenzangu umenizidi. Mbilinyi ni kabila gani na amekuwa mbunge mara ngapi na ameshindana na makabila gani?

 
TWENDE NA MAGUFULI 2020. KWA MAENDELEO YETU.

AKILI YANGU INAPOANZIA NI PAKO ILIPOISHIA.

 
Nadhani unaweza kuvunja rekodi ya ujinga kwa hapa jf kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita , Mbeya hatutaweza kubembeleza kwa kiwango cha kudhalilika kisa tunataka maendeleo , maendeleo ya Mbeya yataletwa na wana Mbeya wenyewe .

Kyela tangu iundwe na Mungu ina wabunge wa ccm tu lakini yaweza kuwa ndio wilaya ya mwisho kwa maendeleo nchini Tanzania .

Ushauri wako umekataliwa na kupuuzwa , na nachukua nafasi hii kukutangaza kama ADUI MPYA WA WANA MBEYA , hadharani na gizani .
 
Write your reply...unafikiri wanagombana ccm kwa ccm au wanakataa kuoa maendeleo kwavile mbunge ni chadema
 
ccm hata wanyama hawaikubali maana hata wao ukiwauliza kuhusu maisha watakwambia acha tu
 
Maisha Bora kwa Kila Mtanzania....kuna watu bado akili zimelala kama tikiti maji shambani. Karne hii unakuja na upupu wa kuhusu maendeleo bila kumchagua mtu wa CCM hayawezi kuja, to hell...so what? CCM wako madarakani toka uhuru, si tungeona flyovers kila mkoa sasa?!!
 
Ujinga wangu ni mara 10 bora kuliko upumbavu wako. Mbeya inahitaji sana mchango wa serikali na wana mbeya nawashauri wasidanganyike na wapumbavu wachache kama wewe. Nawashauri wana MBEYA ACHENI UJINGA wa Aina hii. Fanyeni mambo ya maana.

 
Tusaidie hao waliochsgua ccm wako wapi sasa kimaendeleo ukilinganisha na mbeya
 
Huna haya wala Soni kwa hiyo unawapangia Mbeya wapende chama gani? Kwani ikisuswa na CCM watu wa Mbeya wanapoteza maisha??

Magu anaondoka 2025 ataingia mwingine na maisha yataendelea, ajifunze Demokrasia kutoka kwa wenzie waliotangulia huwezi kukubalika na wote.

Idiot!!!.
 
You are the worst of idiots. Ukitaka demokrasia acha watu watoe maoni yao hata kama huyapend.MWAKA 2020 TULIA/MWANACCM Mwingine anachaguliwa Mbeya . Na MBEYA MKIPUUZA HILI JOTO LAKE MTALIONA. MIMI NAJIANDAA KUMPIGIA KAMPENI MBADALA WA SUGU.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…