Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
- Thread starter
- #101
Wazazi wako kukulea kooooote ndo walichokufundisha hicho? Ndo madhara ya wao kutotumia condom.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA
Moja ya msingi wa Demokrasia ni uhuru wa kutoa maoni. Sasa nashangaa mimi nimetoa maoni wewe unitukania ukoo wangu mzima. Wengi hatuipendi CCM ila kwa akili kama zako ukiwa kama mpinzani basi tunakosa mbadala wa CCM. Lazima itawale tu
Nachoongea ni uhalisia na wala sio ushabiki kama wenu.
JE UNAJUA CCM inaungwa mkono na kundi lipi la watu.?
HEBU FUATILIA TAFITI UPYAKundi la watu wa vyombo vya dola na wale walio katika ulaji.
HEBU FUATILIA TAFITI UPYA
Mimi naongea haya kwa moyo safi. Nimetoka Mbeya jana. Mara nyingine kabla ya jana nilienda Mbeya mwaka 2018.
Leo hii baada ya ziara ya Mh.Rais Jijini Mbeya na kusuluhisha mambo yake na Wanamkoa huo ndo mambo yameanza kubadilika.angalau sasa barabara zinajengwa na maendeleo mengine.
Jiji la Mbeya lilisuswa toka 2015 na ni kutokana na misimamo yao ha hovyo dhidi ya CCM na Mh.Rais. kitu ambacho kilimkwaza sana Mh.Rais na yeye akaamua kulisusa jiji hilo ili kuwakomoa wananchi wanaojifanya wao wana Dunia yao.
Ushauri wangu:
Ili Jiji la Mbeya liendelee msimchague Joseph Mbilinyi. Mtasababisha matatizo mengine kwa jiji hilo.kwa saza wekeni maendeleo mbele.Sugu mnaweza mpatia kazi nyingine lakini si ubunge.
Kama mnampenda sana hata mumpatie cheo cha kaka wa Mwanjelwa but si ubunge. Chagueni mtu ambaye anakubalika na CCM.Ili sasa matakwa yenu yafike mbele ya Rais kwa urahisi na kufanyiwa kazi.
Mwaka 2020 bado Rais ni John P. Magufuli hilo linaeleweka. Sasa tumieni nafasi hii kwa mambo ya maendeleo.
Ndo shida kubwa ya wapinzani uchwara.wanatangaza demokrasia ila kwa matendo hawaipendi.ukipingana nao kimawazo wanakutukana.badala kupishana kwa mawazo.