Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Kweli wewe jamaa wa Town.James siyo mmiliki wa escape one
Sema kabla ya pale kwao kumbuka kuna aliwekeza ile bar ya safari carnival,kusaga naye akaja akawekeza escape na nani sjui 255
James na mke wake ndy walikuwa wanamiliki duka la nguo hapo kwao nje na ukipita unaliona
Ova
Yah nawajuwa vzr hyo familia mzeeKweli wewe jamaa wa Town.
Sema lile eneo lote kuanzia palipowekezwa bar mpaka kule ambapo chibudee anawekeza ni mali ya familia.
Mbona unamzeesha hivyo Mboni masimba shougaaa...yani mboni ndo atalingana na huyo bi Mishy?Mla raha mjini kijana wa miaka hiyoo rika la akina linda kimesera, mboni masimba na akina mange kimambi
Yelewomiii hebu leta ubuyuuuHili sakata nalijuwa vzr sna na Tena ishatua kwenye idara yetu ya uchunguzi Kama siyo huyo Basi mwingine ambaye yey ameginganisha wazungu wawili wote vibabu vya marekani venye mashamaba makubwa mjini arush na moshi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Msiba unaendeleajeYelewomiii hebu leta ubuyuuu
Hapanaa huyu mishy ni mkubwa kwa hao ulowatajaa.Mla raha mjini kijana wa miaka hiyoo rika la akina linda kimesera, mboni masimba na akina mange kimambi
Kibibi kinajiita mishy🤣🤣🙌Kibibi kimewakamata wawili kwa mpigo. 😲
Kibibi kijana.. 😂Kibibi kinajiita mishy🤣🤣🙌
Kweli uchawi upo 😭😭😭😭.
Picha za mishy na wanaume zake (akiwemo marehemu) zipo chiniView attachment 2504951View attachment 2504952View attachment 2504953
Haswaaah ni wote watoto wa mjiniii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakin si ni kampuni moja ya watoto wa town
Pita hapo msibani,mashangingi wote wa mjini wamejaaaHaswaaah ni wote watoto wa mjiniii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mke wa marehemu alikuwa nani??Pita hapo msibani,mashangingi wote wa mjini wamejaaa
Pombe za kumwaga,ila hakuna kulala msibani kalale kwenu
Any way naona kesho watazika kinondoni
Ova
Kweli mishy ni mpambanaji sana .halafu anaonekana ana roho nzuri. Ila mzungu nae ni nani??What is known ni kwamba James alikuwa anadate na mishy mpaka wakazaa, lakimi kabla ya hapo waliwekeza kwenye duka la nguo na viatu liitwalo virago pale kawe jkt darajani.
Eneo lile karibu eka1 na nusu ni mali ya marehemu mzee shanga baba yake na James, na Patricia shanga naye ni marehemu. Huyo Mama Mishy ni mpambanaji na mtu wa mjini kwelikweli alianziaga maisha kuuuza duka la mariedo wale wahenga wanajua habari ya mariedo enzi za mwalimu na mwinyi.
Ukimtaja mishy ni sawa na umewataja wanawake matajiri wa mjini akina mariedo siku hizi wameokoka wana kanisa Akuzamu, umemtaja mke wa kwanza na aliyempa channel ya maisha charles mtawali bibi zakia mhavile, akina mama naivasha, mama kalaghe, zainab kaganda and the likes yaani cream dela cream ya town