Jiji la moto hilii

Jiji la moto hilii

James siyo mmiliki wa escape one
Sema kabla ya pale kwao kumbuka kuna aliwekeza ile bar ya safari carnival,kusaga naye akaja akawekeza escape na nani sjui 255

James na mke wake ndy walikuwa wanamiliki duka la nguo hapo kwao nje na ukipita unaliona

Ova
Kweli wewe jamaa wa Town.

Sema lile eneo lote kuanzia palipowekezwa bar mpaka kule ambapo chibudee anawekeza ni mali ya familia.
 
Hili sakata nalijuwa vzr sna na Tena ishatua kwenye idara yetu ya uchunguzi Kama siyo huyo Basi mwingine ambaye yey ameginganisha wazungu wawili wote vibabu vya marekani venye mashamaba makubwa mjini arush na moshi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
What is known ni kwamba James alikuwa anadate na mishy mpaka wakazaa, lakimi kabla ya hapo waliwekeza kwenye duka la nguo na viatu liitwalo virago pale kawe jkt darajani.

Eneo lile karibu eka1 na nusu ni mali ya marehemu mzee shanga baba yake na James, na Patricia shanga naye ni marehemu. Huyo Mama Mishy ni mpambanaji na mtu wa mjini kwelikweli alianziaga maisha kuuuza duka la mariedo wale wahenga wanajua habari ya mariedo enzi za mwalimu na mwinyi.

Ukimtaja mishy ni sawa na umewataja wanawake matajiri wa mjini akina mariedo siku hizi wameokoka wana kanisa Akuzamu, umemtaja mke wa kwanza na aliyempa channel ya maisha charles mtawali bibi zakia mhavile, akina mama naivasha, mama kalaghe, zainab kaganda and the likes yaani cream dela cream ya town
 
Kweli mishy ni mpambanaji sana .halafu anaonekana ana roho nzuri. Ila mzungu nae ni nani??
 
Back
Top Bottom