Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Kweli wewe jamaa wa Town.James siyo mmiliki wa escape one
Sema kabla ya pale kwao kumbuka kuna aliwekeza ile bar ya safari carnival,kusaga naye akaja akawekeza escape na nani sjui 255
James na mke wake ndy walikuwa wanamiliki duka la nguo hapo kwao nje na ukipita unaliona
Ova
Sema lile eneo lote kuanzia palipowekezwa bar mpaka kule ambapo chibudee anawekeza ni mali ya familia.