Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Asante Lissu walau tumeanza kupata nuru!!! Ilifika pahala mtu unajifungia ndani.
" The storm is almost over"

Kweli asee, wale kijani vindaki ndaki walikua wanatamba jamani..... walikua wana kauli za kibabe kama vile nchi mali yao.... lakini wapenda mabadiliko tulisimama, hatimae sasa wapo wanaounga mkono nao kuanza kuogopa...

Lowassa mwenyewe kamtoa hofu mkuu hahahaha
 
Umefika wakati kuwe na maridhiano.watanzania wawe tayari kuanza kubabadilishana uongozi kati ya ccm na wapinzani. Tujiandae kama itatokea. Ni kosa kuamini uongozi ni wa ccm pekee. Tukijiandaa ni vizuri tutabaki na amani milele

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa mbishi kama kenge.

Unakoelekea utasema "an university student"
 
Kitu Phonology kinahusika.

Good boy
 
Tatizo vijana wengi wanapenda mabadiliko ila hawajiandikisha kwenye daftari la kudumu.
 
Fungueni thread ya lugha

Mbaaaf wahed
 
Usitake watu waamini kuwa sisi watu wazima hatuna akili ya kujua mema na mabaya. Magufuli ni katili. Wazee hatuta mpigia kura. Atatangazwa na NEC kuwa mshindi lakini nguvu ya umma itatumika.
 
Hawachelewi kusema ni picha za kwenye fiesta ya mwaka jana.
 
Namukipindua matokeo nchi haitawaliki tena tuna anza na nyinyi kwanza

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Unadhani kila mtu ni aidha chadema au ccm,!!.. wengine sie watazamaji tu, sababu twajua uchaguzi ni maigizo ya kweli ili kuridhisha wakubwa tusikose mikopo na misaada, ndiyo maana hakuna tume huru
 
Huko Mara Watavunja Rekodi ya Tanzania.

Ila kila Siku Lissu anaongeza idadi ya wahudhuriaji kuna uchawi gani?[emoji23][emoji23]
Mahaba baba wala hakuna dawa! Huyu ndiye aliyesubiriwa kwa muda mrefu! Magufuli usicheze na uchaguzi huu utaishia the Hague
 


ni mwenyekiti wa kijiji anapita nn, ebu kapitie mapokezi ya magu kwanza ndo ujue maaana ya jiji kusmama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…