Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Huko Mara Watavunja Rekodi ya Tanzania.

Ila kila Siku Lissu anaongeza idadi ya wahudhuriaji kuna uchawi gani?[emoji23][emoji23]
Hata ikiwa wewe, Lissu akiwa maeneo yako huwezi kuacha kwenda kumsikiliza
 
Kina Msigwa na Abbas, mjiandae kuondoka kwenye nyumba yetu!!yaani anzeni kufungaisha makolo kolo yenu! Mlikuwa mnamshauri vibaya mwenzenu!! kusifia hata vitu vya kijinga! hamkumwambia ukweli Baba jesca!Yaani Mimi ningekuwa Baba jesca, ningeanza na walionizunguka!
 
Inasikitisha
 
Alafu anasukumizwa wakati hakuna wa kumdhibiti!
 
Ni dhahiri ujio wa Tundu Lissu umebadili upepo wa kisiasa, Mihemko ni jambo la kawaida kwenye nyakati kama hizi, Mwaka 2015 tuliona watu wakideki barabara kwa ajili ya Mheshimiwa Lowassa ila matokeo ya uchaguzi yalikuwa tofauti na matarajio ya wengi, Naimani wapinzani walijifunza na uzuri bado muda upo wa kurekebisha makosa na kuzingatia ushauri wa mheshimiwa membe aliotoa siku ile pale airport, huwezi kuiondoa CCM kwa kutegemea tu ukubwa wa mikutano ya majukwaani, inahitajika mikakati madhubuti kwenye ngazi za vitongoji, vijiji, kata hadi halmashauri ili upinzani ushinde uchaguzi, ni vizuri ikumbukwe tume iliyopo sio huru na dalili za kuwepo kwa upendeleo kwa chama tawala zimeshaonekana kwenye mchakato wa uchaguzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama Lissu kamaliza ngome zote za CCM.

Sehemu atakayochuana kura na magu ni Dodoma.

Wagogo mnisamehe kwanini mpo nyuma hivi?
Hata mkoa wa Tanga nao ni wa kuhurumia kabisa kwani sijui wamepatwa na nini hadi kuingia kwenye mikoa yenye udumavu wa akili kama Dodoma, Tabora kwa kutopenda kubadilika
 
Takbirr
Allah Akbar
Inn shaa Allah Mara hii tunakwenda kupata rais muadilifu ambae hata watesa mashekh wetu na watanzania kwa ujumla
Ewe Mola wa haki tunakuomba umlinde huyu kiongozi wetu muadilifu dhidi ya yule katili Pombe na genge lake
Ewe Mola wa maajabu onyesha maajabu safari hii lissu ashinde dhidi ya yule katili Pombe
Tumechoka kutawaliwa na dikteta
We can't breathe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…