Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Kina Msigwa na Abbas, mjiandae kuondoka kwenye nyumba yetu!!yaani anzeni kufungaisha makolo kolo yenu! Mlikuwa mnamshauri vibaya mwenzenu!! kusifia hata vitu vya kijinga! hamkumwambia ukweli Baba jesca!Yaani Mimi ningekuwa Baba jesca, ningeanza na walionizunguka!
 
Kule Dodoma sijui wana hali gani akina haraka haraka na mtu wao. Hii imevuraga kabisa mkutano wao wa kesho huko watakakofanyia, mtawasikia wakisema vitu visiyo eleweka na hata kuvunja sheria za uchaguzi kutokana na panic. Katika panic hiyo wanaweza kuahidi hata kuanza ujenzi wa roketi kubwa (Satellite) na kulirusha anga za mbali ili kumonitor nyendo za wapinzani
Inasikitisha
 
Sikiliza bwana mdogo, tupo tulioikataa TANU mfumo wa vyama vingi ulipofutwa mwaka 1965. Tuliikataa CCM ilipoasisiwa mwaka 1977 kwa vyama viwili TANU ya Tanzania bara na ASP ya Tanzania Visiwani kuungana. Mimi nimekuwa mpinzani kwa miaka hiyo yote hata kabla ya vyama vingi na hata sasa hivi si Chadema wala ACT ila ni mpinzani wa CCM.

Naamini chama kikikaa madarakani kwa muda mrefu kinalewa madaraka na kujifikiria kina hati milki ya taifa letu. Nafikiri umenielewa hadi hapo. Mambo ya ujinga ujinga sitaki, kwaheri...Tanzania yawezekana bila hiki chama ambacho eti kikisimamisha hata kichaa, anasukumiziwa uongozi.
Alafu anasukumizwa wakati hakuna wa kumdhibiti!
 
Ni dhahiri ujio wa Tundu Lissu umebadili upepo wa kisiasa, Mihemko ni jambo la kawaida kwenye nyakati kama hizi, Mwaka 2015 tuliona watu wakideki barabara kwa ajili ya Mheshimiwa Lowassa ila matokeo ya uchaguzi yalikuwa tofauti na matarajio ya wengi, Naimani wapinzani walijifunza na uzuri bado muda upo wa kurekebisha makosa na kuzingatia ushauri wa mheshimiwa membe aliotoa siku ile pale airport, huwezi kuiondoa CCM kwa kutegemea tu ukubwa wa mikutano ya majukwaani, inahitajika mikakati madhubuti kwenye ngazi za vitongoji, vijiji, kata hadi halmashauri ili upinzani ushinde uchaguzi, ni vizuri ikumbukwe tume iliyopo sio huru na dalili za kuwepo kwa upendeleo kwa chama tawala zimeshaonekana kwenye mchakato wa uchaguzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wenyewe kwa sasa wameanza kumshangilia Lissu maana hakuna namna. Hadi polisi wanaogopa kurusha tear gas!
CCM kwishney...
tapatalk_1600880104529.jpeg
 
Ni kama Lissu kamaliza ngome zote za CCM.

Sehemu atakayochuana kura na magu ni Dodoma.

Wagogo mnisamehe kwanini mpo nyuma hivi?
Hata mkoa wa Tanga nao ni wa kuhurumia kabisa kwani sijui wamepatwa na nini hadi kuingia kwenye mikoa yenye udumavu wa akili kama Dodoma, Tabora kwa kutopenda kubadilika
 
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Baghosha...![emoji23][emoji23][emoji23]

Siandiki waraka hapa.

Kwakifupi Leo watu wa Mwanza wameamua kuonesha hisia zao za kumpenda Rais Tundu Lissu usiku huu kwa kuandamana hadi alipofikia.

Maelfu ya watu hawa yanaibua hisia kali juu ya kile kinachosemwa serikali hii imefanya mambo makubwa.


Sasa kwa hali hii ya Leo inaonesha watu kutaka mabadiliko ambayo wapo tayari kufanya chochote ili hali HAKI inatendeka.

Ila Mwanza HAPANA[emoji23][emoji23][emoji23] Mtaua wazee wa watu.

View attachment 1580967
Takbirr
Allah Akbar
Inn shaa Allah Mara hii tunakwenda kupata rais muadilifu ambae hata watesa mashekh wetu na watanzania kwa ujumla
Ewe Mola wa haki tunakuomba umlinde huyu kiongozi wetu muadilifu dhidi ya yule katili Pombe na genge lake
Ewe Mola wa maajabu onyesha maajabu safari hii lissu ashinde dhidi ya yule katili Pombe
Tumechoka kutawaliwa na dikteta
We can't breathe
 
Back
Top Bottom