Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Serikali ipo bize kuipanga dodoma na Dar huko nyie pambaneni n hali zenuHivi najiulizaga serekali ya ccm mipango miji ndo imewashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ipo bize kuipanga dodoma na Dar huko nyie pambaneni n hali zenuHivi najiulizaga serekali ya ccm mipango miji ndo imewashinda
Dar hakuna mpangilio wowote ni virugu tuSerikali ipo bize kuipanga dodoma na Dar huko nyie pambaneni n hali zenu
Inasikitisha sana halafu, anakuja kiongozi anataka tumchekee tu bila kujali mahitaji yetu ya msingi kama hayo, barabara ya kenyatta imekuwa kama ulimi wa mbwa au mkia wa kondoo, jiji kubwa limejengeka lakini serikali imetususa sijui kwanini? Wabunge wanalia kila mwaka lakini hakuna wakuwasikiliza.Mwanza Kwenye Barabara Imesahaulika Hadi Inatia Huruma, mfano ukiwa unatoka Shinyanga ukifika mpakani mwa Shinyanga na Mwanza baaaasi hadi rangi ya barabara inabadilika
Mwanza ina barabara mbovu pengine kuliko majiji yote Tanzania.
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Siwezi kupinga mkuu, upo sahihi kabisaa.Uki fanya analysis ya square mita za lami za Mji wa Musoma Town na Revenue Collection ya Musoma Vs Square mita za lami za mitaa Mwanza na Revenue Collection ya Mwanza na uki linganisha ubora wa barabara zao. Musoma are much better than Mwanza. Shinyanga Road na Musoma Road. Siyo za Jiji la Mwanza hizo ziko chini ya Wizara ya Ujenzi usi zihesabu. Uta ona how hopeless the City is.
Hao tanroad na tarura ndio wanaotuangusha pia viongoi wetu wengi hawajali kabisaa, chochote kwao ni sawa tu.Huo ndio ukweli.
Tena ile main Road ya Mwanza..kuanzia NELA hadi Airport siyo pesa za Jiji. Bali Magufuli alichukua hela za Watanzania wote za sherehe za Uhuru na kuzipeleka kujenga hiyo barabara. Jiji kama jiji na TANROADS Mwanza ni mchwa wa kula hela tu. Hakuna wanachofanya.
Ukiwa shinyanga usiku na ukija mwanza usiku utasema, shy ndio town na mwanza naenda kijijini kwasababu ya taa za barabarani, Mwanza kupewa taa au marekebisho ya taa za barabarani imekuwa kama hanasa.Mwanza ukiacha barabara mbovu is the most dark city nchini [emoji1][emoji1] barabara kuu zote taa hazifanyi kazi
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Ukiona hivyo hakuna barabara itakayojengwa hapo, serikali hii ya hovyo sana, Mwanza imekuwa kama kijijini, ukiuliza wanakuambia wapo kwenye feasibility study.Sasa what is the use of kuweka taa Kenyatta wakati wana mpango wa kuipanua
Watazing'oa? Au itakuaje [emoji1]
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Well,, 90% ya barabara ulizotaja ziko manispaa ya Ilemela,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa umejaa chuki musoma inamtandao mkubwa wa rami kuzidi mwanza
Musoma ipi hii ya machinjion,nyasho,kariakoo,nyakato airport hadi kule tembo[emoji1787]
Hivi mwanza unaijua au ulikuja kwa shemeji yako siku mbili tatu
Unaujua umbali wa kutoka kanyama-buhongwa
Buhongwa-airport
Nyegezi-luchelele
Mjin-igelegele
Mjin-nyashana
Mjini-bugando
Mjini-mji mwema
Mji mwema-kiloleni
Mjini-buswelu
Mjini-kahama
Mjini-ibanda
Mjini-nyasaka
Mjini-nyasaka ppf
Mjini-nyamadoke
Sabasaba-buswelu
Iloganzara-bwiru
Mjini-bwiru
Kona ya bwiru-kitangiri
Kitangiri-ibanda
Ibanda-mihama
Jiwe kuu-bwiru
Sabasaba-Ilemela-tunza-malaika hadi kona ya igombe
Buzuruga-mwananchi
Buzuruga-shule-nyasaka-maduka tisa-kiloleni-bigbite-kilimahewa hadi kona ya bwiru
Nyakato-Bismarck
Nyakato sokoni-mecco hadi Buzuruga shule
Nyegezi-majengo mapya
Mission-magomeni-kitangiri
Hapa nimekujibu kiufundi zaidi, ulivyoiweka musoma juu ya mwanza nimekuona wewe ni wakuja[emoji1]
Nimetaka kusahau hapo voil kuna njia ya kuzunguka inaanzia pale pepsi-igogo-mchafu kuoga hadi voil bila kusahu mkuyuni hadi butimba
Kama huu Mtandao wa barabara ya lami ni mdogo kwa musoma[emoji1787][emoji1787] na hayo majiji makubwa ya Tanzania yaani tanga,arusha,mbeya na dodoma basi utakua na chuki sio bure
Ukikohoa narudia
Pengine kuna afadhali, njoo Mwanza ukiwa unatokea shinyanga, unaweza kuliaNi Tanzania nzima,ni kinyaa tupu
Nimezaliwa na kukua na kuishi Mwanza, we jamaa unaijua Mwanza nje ndani, mtoa mada angetulia akapata A,B,C kwanza maana ana argue na mtu anaujua mji kindaki ndaki, kuna mitaa na barabara umezitaja hapo ni mitaa ya home kabisa 😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa umejaa chuki musoma inamtandao mkubwa wa rami kuzidi mwanza
Musoma ipi hii ya machinjion,nyasho,kariakoo,nyakato airport hadi kule tembo[emoji1787]
Hivi mwanza unaijua au ulikuja kwa shemeji yako siku mbili tatu
Unaujua umbali wa kutoka kanyama-buhongwa
Buhongwa-airport
Nyegezi-luchelele
Mjin-igelegele
Mjin-nyashana
Mjini-bugando
Mjini-mji mwema
Mji mwema-kiloleni
Mjini-buswelu
Mjini-kahama
Mjini-ibanda
Mjini-nyasaka
Mjini-nyasaka ppf
Mjini-nyamadoke
Sabasaba-buswelu
Iloganzara-bwiru
Mjini-bwiru
Kona ya bwiru-kitangiri
Kitangiri-ibanda
Ibanda-mihama
Jiwe kuu-bwiru
Sabasaba-Ilemela-tunza-malaika hadi kona ya igombe
Buzuruga-mwananchi
Buzuruga-shule-nyasaka-maduka tisa-kiloleni-bigbite-kilimahewa hadi kona ya bwiru
Nyakato-Bismarck
Nyakato sokoni-mecco hadi Buzuruga shule
Nyegezi-majengo mapya
Mission-magomeni-kitangiri
Hapa nimekujibu kiufundi zaidi, ulivyoiweka musoma juu ya mwanza nimekuona wewe ni wakuja[emoji1]
Nimetaka kusahau hapo voil kuna njia ya kuzunguka inaanzia pale pepsi-igogo-mchafu kuoga hadi voil bila kusahu mkuyuni hadi butimba
Kama huu Mtandao wa barabara ya lami ni mdogo kwa musoma[emoji1787][emoji1787] na hayo majiji makubwa ya Tanzania yaani tanga,arusha,mbeya na dodoma basi utakua na chuki sio bure
Ukikohoa narudia
Katika majiji yote nadhani mbeya ndio jiji la kwanza kuwa jiji la mchongoNaomba nimuombe Rais ikimpendeza afanye mabadiliko makubwa kwa Jiji la Mwanza. Mwanza ni jiji lakini miundombinu yake haina hadhi ya JIJI lolote duniani.
Barabara za mitaa ni tope, makorongo, mtandao wa Lami za mitaa Mwanza ina zidiwa na Manispaa nyingi Tz. Main Roads zipo chini ya Kiwango cha ubora. No strategic plans (wana weka nguzo za taa wakati kuna mkakati wa kupanua barabara). Majengo makubwa hadi VOIL yanajengwa karibu na barabara bila zuio la upanuzi. Barabara ni finyu. Jiji kubwa barabara kubwa ni njia 2 kweli? No alternative routes, kuingia jijini!! Hapa: TANROADS, TARURA, MIPANGO MIJI, ARDHI wakuu wa vitengo wote, Rais piga chini...wapeleke NIDA.
Maji: Mwanza ime zungukwa na Ziwa pande zote ila mgao wa Maji ni mkali kuliko Shinyanga. Wanazalisha lita million 90 kwa siku wakati mahitaji ni lita million 160 kwa siku. Je hawakujua? Je hawajui population growth rate na growth rate ya jiji? Hawa kujipanga? Masoko: masoko ya hili jiji hayana hadhi ya Jiji. Ni ya hovyo. Maji machafu , giza na tope ndio sifa kuu.
Vyombo vya Usalama naomba msaidieni mama kufanya kazi. Uzembe wa hovyo ni mwingi. Pelekeni taarifa kwa wakati.
Fafanua kidogo tactics Ni Nini na itahusika na njia zipi ?Hizo njia ulizotaja hapo zipo kwenye tactics..kama hyo ya coca-cola kwenda buswelu....hyo ya igoma kwenda Hadi kishiri.. nyingine ambayo mwaka huh inajengwa na TARURA ni hii ya machinjioni Hadi mkuyuni..
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha makasiriko chiefNaomba nimuombe Rais ikimpendeza afanye mabadiliko makubwa kwa Jiji la Mwanza. Mwanza ni jiji lakini miundombinu yake haina hadhi ya JIJI lolote duniani.
Barabara za mitaa ni tope, makorongo, mtandao wa Lami za mitaa Mwanza ina zidiwa na Manispaa nyingi Tz. Main Roads zipo chini ya Kiwango cha ubora. No strategic plans (wana weka nguzo za taa wakati kuna mkakati wa kupanua barabara). Majengo makubwa hadi VOIL yanajengwa karibu na barabara bila zuio la upanuzi. Barabara ni finyu. Jiji kubwa barabara kubwa ni njia 2 kweli? No alternative routes, kuingia jijini!! Hapa: TANROADS, TARURA, MIPANGO MIJI, ARDHI wakuu wa vitengo wote, Rais piga chini...wapeleke NIDA.
Maji: Mwanza ime zungukwa na Ziwa pande zote ila mgao wa Maji ni mkali kuliko Shinyanga. Wanazalisha lita million 90 kwa siku wakati mahitaji ni lita million 160 kwa siku. Je hawakujua? Je hawajui population growth rate na growth rate ya jiji? Hawa kujipanga? Masoko: masoko ya hili jiji hayana hadhi ya Jiji. Ni ya hovyo. Maji machafu , giza na tope ndio sifa kuu.
Vyombo vya Usalama naomba msaidieni mama kufanya kazi. Uzembe wa hovyo ni mwingi. Pelekeni taarifa kwa wakati.
Kabisa kabisaUkiona hivyo hakuna barabara itakayojengwa hapo, serikali hii ya hovyo sana, Mwanza imekuwa kama kijijini, ukiuliza wanakuambia wapo kwenye feasibility study.
Ni mradi wa benk ya Dunia ....inajenga barabara ya kishiri buhongwa,.. barabara ya nyamhongolo to buswelu, barabara ya coca-cola to buswelu na barabara za kirumba sokoniFafanua kidogo tactics Ni Nini na itahusika na njia zipi ?
Niko mwanza toka 2002. 21 yrs. Sema ume simuliwa uongo na uka amini uongo. Luchelele aliyo taja hakuna lami.Nimezaliwa na kukua na kuishi Mwanza, we jamaa unaijua Mwanza nje ndani, mtoa mada angetulia akapata A,B,C kwanza maana ana argue na mtu anaujua mji kindaki ndaki, kuna mitaa na barabara umezitaja hapo ni mitaa ya home kabisa [emoji3]
Nyie watu wa nyamagana mnapenda kuiexclude ilemela kwenye jiji la Mwanza... ilemela ni mwanza ko usianze kutafuta Chaka eti barabara ni za ilemela sio nyamaganaNiko mwanza toka 2002. 21 yrs. Sema ume simuliwa uongo na uka amini uongo. Luchelele aliyo taja hakuna lami.
Bugando lami yake ime jengwa kwa ufadhili, tena Romani C. Na lami yenyewe imeishia hapo Hosp ya Bugando tu
Muulize kuna mtaa wa Nyamagana kataja hapo[emoji3][emoji3]
Ilemela unayo sifia ina barabara ngapi za lami? Igombe tu ni vumbi tupuNyie watu wa nyamagana mnapenda kuiexclude ilemela kwenye jiji la Mwanza... ilemela ni mwanza ko usianze kutafuta Chaka eti barabara ni za ilemela sio nyamagana
Sent using Jamii Forums mobile app