Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Sijawahi kufika Arusha, labda panaweza kupazidi Mwanza kwa maghorofa mazuri lakini Mwanza ukubwa wake ni tishio ukiwa katikati ya jiji Mwanza itakulazimu uende zaidi ya 25km ili kutoka nje ya mji namaanisha Wilaya 2 za Mwanza yaani Nyamagana na Ilemela hazina vijiji kwa sasa vijiji vinaanza patikana wilaya nyingine.
Alafu kitu kingine kizuri kwa Mwanza ni jiji moja kuwa na manispaa 2 hii yote nikutokana na jiji kuwa kubwa nikama vile Dar ilivyokuwa na manispa 3 na sasa 5.
Watu wanasema ukitoa Dar Mwanza biashara zinaenda sana kuliko Arusha hii ni kutokana na ukubwa wa mji na wingi wa watu.
Hata Dar kinachoifanya kuwa Dar ni huo msongamano wa watu biashara zinaenda na kila kitu kiko vizuri.
Nawashauri Arusha wafanyekitu wapate wahamiaji wengi kama Mwanza maana Mji ni watu.
kuhusu uwelewa wa mambo ya kimaisha naona miji mingi iko sawa tu.
 
Umezungumza points
 
Nimekuwa nikifatilia ubishi mkubwa wa Kati ya rock city na chuga lipi ni jiji bomba. Hembu tuweke mambo hapa kuzingatia vipengele Kama hali ya maisha mzunguko wa pesa na biashara mijengo town na mitaani miundombinu n.k ni vizuri.
Post picha
Weka statistics
n.k....
 
Vyote vimiji vya kawaida sana

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kufananisha watu wanaokunya ziwani na wastaarabu walio na exposure na interaction na watu wa Mataifa ya nje....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…