Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

This is rock city
 

Attachments

  • ad2bf732672fdaec0c7c89b90b72d0ed (1).jpg
    170.2 KB · Views: 59
  • 114322901.jpg
    51.7 KB · Views: 53
  • AAA.jpg
    34.5 KB · Views: 58
Huwezi kufananisha watu wanaokunya ziwani na wastaarabu walio na exposure na interaction na watu wa Mataifa ya nje....
Wavuta bangi na walevi.Hata hivyo Tanzania jiji ni moja, mengine mbwe
bwe tuu

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Naona umeleta thread nyinginezo inayoongelea mambo yale yale.
 
Chuga kusikie tu joh!!!hiyo Mwanza kidogo labda uishindanishe na Mby.

-Ndumilakuwili-
Waambie mkuu wajue nakumbuke zile beach party lake dulluti dah Really missed those moments at Arusha. Bila kusahau nane nane holiday pale njiro.
 
Arusha ndio mpango mzima

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Anazungumzia arusha ipi,,kama ni hii ya akina lema usithubutu siku nyingine kuleta huo ujinga humu,,unafananisha half london na kwa wafuga ng'ombe
 
Kama unapesa za kutosha na ni mtu wa matanuzi huna michongo sana ya Pesa Nenda ARUSHA, kama Unataka maisha mazuri na nafuu Huku ukiwa na huduma zote za kijamii standard pasi kusahau kufanya michongo mingine ya Pesa nenda MWANZA....

KIMEO CHANGU
 
Mwanzaa ni hbr ingine

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Achane ulimbukeni nyie amtu anatetea mwanza kwa sababu katoka huko au anaish huko, same as arusha....
Nenden mkatembee dhen mje na solution vichwani mwenu, am from dsm bt there is no place like A.town in every thing, frankly speaking mwanza imeachwa mbali sn na arusha, i used to be in mwanza, so naongea v2 ninavyo vifaham, end of discussion
 
unalaana ww sio bure
 
Safar bado mbichi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…