ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
sema kwa maskini kama wa huko mwanza hawawezi mudu maisha na ndio hoja hapa kwamba mwanza inaongoza kwa maskini na sio kingine chochoteArusha ni mji mgumu sana kama haujawa stable kiuchumi hasa kwa wageni sababu zipo nyingi ila miongoni ni;
1. Mzunguko wa buashara moja kubwa Utalii
2. Mfumo wa maisha wa wenyeji m.f suala la nguo wanavaa za mtumba. Hawapakii boda boda kama usafiri
3. Mzunguko wa uchumi imara umetawaliwa na wachache
Zipo faida kama ukiwa kwenye ring ya uchumi wa Arusha ila ni kwa tabu sana kama ndio unaanza.
Kwenye upande wa makazi yapo bei nafuu kodi, nauli, vyakula na hali ya hewa safi.
mzee mbona una hasira sana life la chuga limekupiga 😆 😆 😆 😆 ,rudi mwanza kuna michembe ya jero jero kuleHivi hili swala la kulinganisha Mwanza na Arusha lilitoka wapi!? Na ukizingatia kumekuwa na upinzani mkubwa kati ya watu wa Arusha na Mwanza kila mmoja akitetea mji wake
Mimi siishi katika miji hiyo lakini yote nimeishi kwa zaidi ya miaka 4 na currently niko Arusha na nilikuwa Mwanza.. Nisemr tu.. Kwanza WATU WA ARUSHA PAMBANENI NA HILI VUMBI UTAFIKIRI MJI NI ZIZI LA NG'OMBE.. Vumbi linatimka utafikiri wanaoishi hapa ni mbuzi.. Hata huku njiro mnakojivunia Vumbi linatibuka kama kuna gulio.. 2..hivi vi dala dala kama viberity ni ujinga mtupu jiji haliwez kuwa na public transport za hovyo namna hii.. Mtu mrefu hawez hata kupanda.. Lakini tumeiona Arusha ilivyokosa hadhi vaada ya corona mbwembwe zote zimeisha hakuna pesa kila mtu analia..Watu wa Hapa jivunieni MENO yenye kutu..
Ntarudi kusema kwa ajili ya Mwanza
Typing error,najua wajua kwamba AR iko hot sana kwenye construction industry hasa ya majengo marefuThe fifth image ni BOT mwanza 😂😂😂umeamua kukimbilia kwenye nyumba moja moja 😨my friend Arusha haina ubavu wa kutunishana na Mwanza, nazani hadi kufikia 2025 tutakuwa na kariakoo nyingine hapa Tanzania (Sahara - Mwanza) 💪
Jengo refu Arusha lina floor ngapi?Typing error,najua wajua kwamba AR iko hot sana kwenye construction industry hasa ya majengo marefu
Under constructio in Arusha,NHC Safari CityThe fifth image ni BOT mwanza 😂😂😂umeamua kukimbilia kwenye nyumba moja moja 😨my friend Arusha haina ubavu wa kutunishana na Mwanza, nazani hadi kufikia 2025 tutakuwa na kariakoo nyingine hapa Tanzania (Sahara - Mwanza) 💪
15 tena yako 2 la Ngoro ngoro na hile lingine la chuo fulani cha uongozi,na mengine meeeengiiii ya 8-14 floorsJengo refu Arusha lina floor ngapi?
Tuko kwanza kwenye majengo achana na madaraja au sgr..kila sehemu sgr itafika ni suala la muda tuu..Kuwa jirani na mahakama sio kujua sheria.Mimi nipo ARUSHA na ninanishi ARUSHA-NJIRO. Wewe huko Mbeya Arusha unaisikia tu......tuulize tukuambie.....Miradi yote ya Arusha unayosema ipo under construction, inafunikwa na na mradi mmoja wa Mwanza na chenji inabaki. Kuna SGR yenyewe inakuja na ICD kubwa na inawekwa Mwanza. Kama Arusha ina potential hiyo unayosema kwa nini visipelekwa Arusha?
View attachment 1494352
how tall in m is your 18 floor building? kuwa tu na floor nyingi sio lazima itakuwa jengo refu maana inategemeana na floor height..Ukitafuta majengo marefu 10 nje ya Dar hiyo hotel ya nssf hata haiwagi ya kwanzaMwanza tuna 18 floors leta nyingine
Picha zitaongea,Under constructio in Arusha,NHC Safari City
Mzee baba ukiongelea buildings 8f+ arusha hata haitaonekana15 tena yako 2 la Ngoro ngoro na hile lingine la chuo fulani cha uongozi,na mengine meeeengiiii ya 8-14 floors
Ukweli usiopingikaMnapofananisha mnatumia vigezo vipi, maana kwa uwingi wa watu Mwanza Ina watu mara 2 ya Arusha na majumba marefu Mwanza nako kumekucha, labda Mwanza inaweza kuzidiwa na Arusha kwa Hotel kubwa za kitalii tu Basi, lakini vinginevyo vyote Mwanza inaizidi Arusha kwa mno.
Mkuu mbona geita haionekani au sio tzNyenyeeeee nyeeee revenyuuuuuuuuuuu
View attachment 1491803
List of regions of Tanzania by GDP - Wikipedia
Watu wa kaskazini bangi zinawapeleka vibayaBado Ar iko huu nasema Mwanza ni jiji kuliko Ar wakati Tra wanakusanya hela Mara 2 ya Mwanza
? HATA KILIMANJARO WAKO JUU ZAIDI KULIKOMwanza watu Wengi Mwanza maskini
anasema anajenga mall kubwa sana washamba wa mwanza waje kushangaa vitu vya ukweli ArushaKwani Laizer yeye anasema je?
Hilo swali hawezi kujibu kwa vile anajua litapunguza GDP ya mwanza na kuzidi kuwakandamiza kwenye shimo la umaskiniMkuu mbona geita haionekani au sio tz
Rock city mall iliyopo mwanza ndo kubwa kuliko zote Africa mashariki.anasema anajenga mall kubwa sana washamba wa mwanza waje kushangaa vitu vya ukweli Arusha