Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Hivi kati ya Kishiri, Igombe, Ilalila, Usagara, Nyamadoke na Kisesa ni wapi pazuri kwa ajili ya makazi kwa sasa Mwanza?
𝒖𝒔𝒂𝒈𝒂𝒓𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒆𝒏𝒆𝒐 𝒚𝒂𝒌𝒆 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒖𝒌𝒊𝒓𝒊𝒈𝒖𝒓𝒖. 𝒑𝒂𝒎𝒆𝒕𝒖𝒍𝒊𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂
 
Mwanza ndo jiji pekee ambapo raia wake bado ni washamba. Ukikutana na msukuma wa mwanza huwezi amini Kama ametokea mwanza, au unaeza jiuliza mwanza ni kijijini au ni mjini. Aisee watu wa mwanza ni washamba hatari, hasa upande wa mavazi.
 
Kweli mwanza bado maskini wako wengi. Hiyo M3 Arusha hupati hata hatua tano kwa hiyo ngawira.
Arusha ipi unaongelea ?

Arusha kuna ardhi gani ya maana ?
Ardhi nzuri ni kiduchu na ya kugombania sana.

Kungekuwa na ardhi mngekuwa mnakimbizana kwenye mikoa ya watu ?
 
Arusha ipi unaongelea ?

Arusha kuna ardhi gani ya maana ?
Ardhi nzuri ni kiduchu na ya kugombania sana.

Kungekuwa na ardhi mngekuwa mnakimbizana kwenye mikoa ya watu ?
Kugombania kivipi? Kwamba umeshajenga arusha yote imeisha au?
 
kinachoniskitishaga kwenye hili batle, watu huwaga wanapenda sana kuongelea kwa mapenzi yao na sio uhalisia

hasa watu wa Arusha mara nyingi hawataki kabisa kukubali kama mwanza ni zaidi ya Arusha

sensa zote za watu na makazi mpaka sensa ya mwaka 2012 inasema Mwanza ni second city, lakin bado unakuta mtu wa Arusha & Dodoma hawataki kukubali kama mwanza ni baba yao

huwa wananikera sana watu wa Arusha na Dodoma, serikali yenyewe inatumbua na uhalisia upo hivyo kwamba Mwanza ni zaidi ya Arusha

kifupi tangu sensa ya watu na makazi ianze Mwanza haijawahi kutoka kwenye namba mbili
 
I have been in both cities bt hakuna kama dar ila kiuchumi nenda na kimaendeleo fasta utafanikiwa.
Arusha mji wa kitalii atii
hawajazungumzia dar hapa wameshindanisha Arusha vs Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…