Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Camera yangu imeniangusha sana. Ila Mwanza ni mji mkubwa sana
Anza page ya 10 mpaka hapa ulipo now usitusumbue na ujinga wako. Picha mwanzo mwisho ni zile zile huoni hata aibu au umeshabwia mambo yako
 
[emoji1787][emoji1787]Asante bro. Jiji bila maji linapoteza sifa moja kwa moja
Hapo kwenye bro sasa jamani [emoji23][emoji23][emoji23]!! Kiherere here kimenisha! [emoji10]
 
Hapo kwenye bro sasa jamani [emoji23][emoji23][emoji23]!! Kiherere here kimenisha! [emoji10]
Mwemwemwe, nisamehe tu wengine hatuangalii hata nani kacomment, tunaangliaa comments
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…