The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Sasa kuna nini hapo cha maana? Kumechakaa kumepauka hadi aibu..
Dodoma na Arusha ninazozifahamu ,[emoji3] ..atleast Dodoma baada ya miaka kadhaa then pitia hii bajeti ya wizara ya ujenzi ...ndo utujue soon Dodoma anawakalishaSasa kuna nini hapo cha maana? Kumechakaa kumepauka hadi aibu..
Ujue ni aibu kusema Mwanza ni Jiji la pili Kwa ukubwa Tanzania ilhali tukiingia kwenye battles za EAC cities,Dar,Arusha na Dom ndio wanaweza kushindana na Miji hasa ya Kenya kuanzia mandhari,mpangikio, miundombinu na umuhimu wa Jiji kiuchumi na Kimataifa..
Mwanza inaleta aibu Sana.
Kagoogle ujue Lin Arusha mnajengew fly over ...no even such a dreamDodoma na Arusha ninazozifahamu ,[emoji3] ..atleast Dodoma baada ya miaka kadhaa then pitia hii bajeti ya wizara ya ujenzi ...ndo utujue soon Dodoma anawakalishaView attachment 2257995
Maelezo yako na attachment haviendani,kiufupi hujaeleweka.Dodoma na Arusha ninazozifahamu ,[emoji3] ..atleast Dodoma baada ya miaka kadhaa then pitia hii bajeti ya wizara ya ujenzi ...ndo utujue soon Dodoma anawakalishaView attachment 2257995
Hyo ni buzuruga,nyamhongolo na uhuru ,,,nimeingia mm defender wa mwanza ....na bado nakuletea ,hizo ni picha za pembeni mwa jiji sio kati katiMaelezo yako na attachment haviendani,kiufupi hujaeleweka.
Soma hyo attachment na unambie Lin mtajengew flyoverMaelezo yako na attachment haviendani,kiufupi hujaeleweka.
Yaani umetaja mitaa 3 afu kapicha kamoja 😆😆😆😆😆Hyo ni buzuruga,nyamhongolo na uhuru ,,,nimeingia mm defender wa mwanza ....na bado nakuletea ,hizo ni picha za pembeni mwa jiji sio kati katiView attachment 2258005View attachment 2258003View attachment 2258004
Mabey flyover unaijua kwanza? Kujengwa ni suala la Bajeti tuu..Soma hyo attachment na unambie Lin mtajengew flyover
Yaani unachekesha , serikali tayari ishamaliza fesability study .ujenzi wa barabara ya town Hadi usagara km 25 ...njia nne ,,,,muda wowote inatangazwa tender .... fesability study nyingine inamaliziwa ujenzi wa by pass ya mkuyuni to Nyakato km 10 ...ujenzi wa bypass mpya Buhongwa to Igoma km 17 unaanza mwaka huuMabey flyover unaijua kwanza? Kujengwa ni suala la Bajeti tuu..
Kwa kutumia logic hiyo hiyo Na wewe nikuulize ni lini mtajengewa barabara ya njia 4 yenye km 29 kama hii ya Mbeya?[emoji116]
Hizo attachment zingine huzion auYaani umetaja mitaa 3 afu kapicha kamoja [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tena ustake kuzungumzia mbeya ,,,,,haina hata hadhi ya kufungulia kamba viatu vya mwanzaMabey flyover unaijua kwanza? Kujengwa ni suala la Bajeti tuu..
Kwa kutumia logic hiyo hiyo Na wewe nikuulize ni lini mtajengewa barabara ya njia 4 yenye km 29 kama hii ya Mbeya?[emoji116]
Mrushie na mpicha wa Nyege Nyegezi Bus stand halloooooStand mpya ya mabus ilemela nyamhongolo ..hatua za mwishoniView attachment 2258054View attachment 2258056View attachment 2258055View attachment 2258057View attachment 2258059
Kashakimbia..hana hoja ,,,ya Nyegezi naitafuta nzuri ,,,,,nimletee ,maana anajifanya mpotoshaji sanaMrushie na mpicha wa Nyege Nyegezi Bus stand hallooooo
Ili muende sawa mtafutie hata picha la google la Stands la Chugaaa hallooooo [emoji1][emoji1][emoji1]
Chuga [emoji91][emoji91]View attachment 2521324View attachment 2521325Maybe Arusha has to improve its scenery to look like this ,,,so that it can rival with mwanzaView attachment 2269101View attachment 2269102