mtoto wako anakula pilpili?,mimi nimekula muhogo na maziwa mtindi ,labda nikutumie ile mizizi na wewe ule kwa picha
okey mkuu nimechek list ya mahitaji skuona wese nkajua ni aina mpya ya mapishiWese lipo, huwa naweka wese kidogo. Wese likikolea linakata mzuka.
Labda fundi mwingine apike kwa umaridi halafu aweke wese jingi hapo mzuka hautakatika
Kupanga ni kuchaguaMambo ya kibachela hayataki complication, nahisi uvivu sana mkuu kununua vitendea kazi vya kutosha
mtoto wako anakula pilpili?,mimi nimekula muhogo na maziwa mtindi ,labda nikutumie ile mizizi na wewe ule kwa picha
Expert Cook[emoji122][emoji122][emoji122]
Vuta mapema umri unasongaNinalo la gesi, lile lingine lipo mbioni kuvutwa ndani hapa
Nitakuja uje unichape
Litatimia tû mkuu, tuombe uzima na afya njema
Tuko wawili, halafu najiweka sawa kwa pambano dhidi yako
Kwa nini hujasema muda huo...