Jikoni na Mwifwa, upishi wa mboga(samaki)

Ahsante sana mh mjumbe, ingawa kwa upishi huu nina wasiwasi kama utaja kuoa...[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi pia napenda kula chakula na mpishi wake mh mjumbe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi pia napenda kula chakula na mpishi wake mh mjumbe
Mh mjumbe, naona leo kidogo umeniangusha kwenye hilo dongo. Kalikuwa kadogo sana
 
Mh mjumbe, naona leo kidogo umeniangusha kwenye hilo dongo. Kalikuwa kadogo sana
Nakuahidi sitokuangusha mh mjumbe, kuwa na imani na mimi[emoji2][emoji2]
 
Mkuu kwa hii nguna kwanini wachawi wasikuchukue ukalime usiku wa leo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…