hahahaha Research Methodologies? Alikuwa ananifurahisha sana...Pale Nkrumah alikuwa hataki watu wakae kule juuyap, pia nimepitia kwenye mikono ya Sansa, Makulilo, Bashiru Ally, Audax Kweyamba, dr Rev Mogela, prof Munishi, Dr Benson Bana, Rwekaza Mukandala nk. unamkumbuka DR LYMO wa AS?
Ni huyo huyo mkuu. Mimi alinifundisha Literature. R.I.P Dr. Massele
Wengine ninaowakumbuka ni Dr. Lilian Osaki, Dr. Mwaifuge na K. Emmanuel na dada mmoja wa Kinyakyusa akifundisha Oral Literature. Sijui kama wote wapookey kama unamuongelea huyo bas ni marehem kama nilivokuambia..ni mlezi wangu huyo..alifariki kwa ugonjwa wa kuishiwa damu....ni dr mahiri sana..wakali wengine waliobaki kwenye dept yao ni prof muzale na dr korogoto
Dr kikwete
Wamenifundisha wote hawa.Nahisi wewe tulikuwa wote mkuu.RR LYIMO alikuwa anafundisha AS.
DR MOGELA alikuwa akikuchengia inakuwa balaa
Sio wote waliopitia PSPA walifundishwa na Dr. Bruce Heinman. Labda wale wa upande wa International Relations
Kwa waliosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka ya 90 hadi 2010 watakumbuka Cream ya Madaktari na Maprofesa wakali waliokuwapo pale. Sasa hivi wengine wametangulia mbele ya haki, wengine kustaafu na wengine kuacha kazi na kuingia katika siasa hasa ubunge. Leo nimewakumbuka nikawafananisha na timu ya Barcelona wakali hao. Huenda wengine wamefariki halafu sijui kama wajua saidia kuweka RIP na ongeza wengine unaowakumbuka. Sijui sasa hivi hali ikoje kwa upande wa ubora ukilinganisha na wakali hawa
1. Prof. Mathew Luhanga - Vice Chancelor
2. Prof. Mayunga Nkunya
3. Prof John Mshana
4. Prof. Mutabaji
5. Prof. Idris Kikula
6. Prof. Rwekaza Mukandala - Sasa ndiye Vice - Chancelor
7. Prof. Haroub Othmani -R.I.P.
8. Dr. Sengodo Mvungi - R.I.P
9. Prof. Issa Shivji
10. Prof. M. M. Mulokozi
11. Dr. Ndibalema
12. Dr. Hamza Njozi
13. Prof Josephati Maghway
14. Prof. Ishumi
15. Prof. Galabawa
16. Prof. Chachage - R.I.P
17. Dr. A Rwaitama
18. Prof. P. Mlama
19. Dr. Joyce Ndalichako
20. Prof. H. Mwansoko
21. Dr. Mreta
22. Dr. Kadeghe
23. Prof. Omary
24. Dr. B. Massele
Hawa ni baadhi tu ya wakali wa wakati huo baadhi yao bado wapo. Heshima zao sana.
kwa tuliosoma PSPA 2009-2012 Dr Bruce Helman alikuwa hakwepeki. alitufundisha International Relations I tukiwa second year then akatufundisha Human Rights Theory and Practice tukiwa third year
Huyu mzee alikuwa akivaa suruali yake inapinda kidogo.
Anasema bibi yenu 3 yuko Aridhi yeye kitanda kinalaliwa na digirii 7
Economics usimsahau fundiWazee wa Economics:
Prof. Kulindwa, Prof. Msambichaka, Prof. Mabele, Prof. Mushi, Dr. Ndashahu...
Tambila huyu daah....huyu mzee darasa let haliwez kumsahau. Alitaka kutufanya kitu mbaya tukiwa mwaka wa mwisho
Cc#mkoroshokigoli
Dr.Ndibalema mzee wa serendimbityTambila huyu daah....huyu mzee darasa let haliwez kumsahau. Alitaka kutufanya kitu mbaya tukiwa mwaka wa mwisho
Cc#mkoroshokigoli
Prof William Makene R.I.P
Prof Basinda R.I.P
Prof Gabriel Mwaluko R.I.P
Prof Raphael Lema P.I.P
Prof James Shaba
Prof Zul.Premji
Prof Mandara
Prof Samwel Maselle
Prof Idd Mbaga
Prof Charles Kihamia
Prof Fred Mhalu
Prof Abel Msengi R.I.P
Prof Lwiza R.I.P..
Hist Dept hii,1.Prof. Fredrick Kaijage
2.Prof. Isaria Kimambo
3.Prof. Kapepwa Tambila
4.Prof. Y.Q. Lawi
5.Prof. Nesta Luanda
6.Prof. Betram Mapunda
7.Prof. Abdul Sheriff
8.Prof. John Iliffe
9.Prof. Terence Ranger
10.Prof. Jacques Depelchin
Soma picha mwenyewe ujue naongelea mtandao gani. Course work mnaenda mda wa ziada (dakika 120) na usishangae kupatika kwa matuta.